Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Katika maeneo ambayo yanga wamefanikiwa kuset msimu huu ni kwenye management, klabu yoyote ikiwa na management goigoi lazima mambo mengi yatakwama, Matunda ya mafanikio ndani na nje ya uwanja ya klabu yanaanzia kwenye management.
Kikosi cha uongozi kilichoko yanga kwa sasa kina kiu kubwa sana ya mafanikio na bahati nzuri ni vijana wenye vision ya kuona mbali, Kikosi hiki kikiongozwa na Eng; Hersi, Arafat, Senzo mbatha, Simon Patrick, Haji mfikirwa, Hassan bumbuli, ukiachilia mbali wajumbe wa kamati ya utendaji ni vijana ambao kwanza ni watoto wa mjini hivyo siasa za yanga na simba ndani na nje ya uwanja wanazijua vizuri Sana.
Pili wanafikika kiurahisi ktk masuala mbalimbali ya kuijenga timu, tatu ni vijana wasomi wanaojitambua na kujua wafanye nini na kwa muda gani, Uwepo wa watu hao wakiongozwa na kichwa kingine matata Mr senzo mbatha ni moja ya siraha kubwa inayoendelea kuinufaisha yanga kwenye mambo mbalimbali ikiwemo suala zima la udhamini.
Mpaka sasa hivi yanga ina uhakika wa kukunja B.7 kwa msimu Kutokana na udhamini ilionao, na bado wadhamini wengine awajatia mzigo, kwa mfano GSM bado, Taifa gas bado, maji ya Afya bado, Udhamini huu ni Mali ya klabu ya yanga ivyo kwa maana hiyo Wawekezaji watakaojitokeza kununua hisa watatakiwa kujipanga vilivyo kuweka mzigo wa maana, hapo ni thamani ya mikataba tu bado watakwenda kuthamanisha logo ya klabu thamani yake
Ndio maana zoezi la kuandikisha wanachama linaendelea nchi nzima, bila ya vichwa vilivyoko pale juu na uwepo wa uongozi uliopita wa Dr mshindo msola nafikiri mambo yasingekuwa mepesi kiivyo, hakuna klabu yenye udhamini mnono Kama yanga kwa afrika mashariki, Kama ipo itajwe hapa, kwaiyo ndani ya miaka 5 ijayo thamani ya udhamini huu itaonekana na wakati huo tiyali itakuwa chini ya wawekezaji, Kongole viongozi, kongole wanachama na mashabiki yajayo yanafurahisha