Baada ya miaka 59, Wapare wamsimika chifu mpya, afanyiwa tambiko

Baada ya miaka 59, Wapare wamsimika chifu mpya, afanyiwa tambiko

23 December 2022
Same, Kilimanjaro
Tanzania

CHIFU JOSEPH MBAZI II ATAWAZWA LEO, KUENDELEZA HISTORIA YA JAMII

Tukio hilo adhimu la kuendeleza historia ya sehemu hiyo leo katika tarafa ya Mbaga, tukio la kumpa zana na majukumu ya kijamii limefanyika kwa kumsimika chifu.

Mojawapo wa jukumu lake chifu ni kuendeleza pia kutunza historia ya jamii kwa majina n.k zisipotee

Source : Global TV online

Machifu waliopita kutoka eneo hili la Mbaga Same, iliyopo kaskazini katika nchi ya Tanganyika ni katika mtiririko huu (chini), bahati mbaya wale wa nyuma kabisa miaka waliyokuwa madarakani haikunukuliwa hadi ya kina chifu Joseph Mapombe Madafa

Eneo Mbaga Same

Chiefs (title Mangi)

.... - .... Seangasu
.... - .... Kware
.... - .... Nzovu Madiva
.... - .... Kware Chasimba
.... - .... Nzovu
.... - .... Luvigho
.... - .... Mashombo
.... - .... Madafa
.... - .... Mapombe
.... - .... Joseph Mapombe
.... - 1962 Mbazi
Jina la Joseph na matambiko wapi na wapii
 
Back
Top Bottom