Baada ya miaka kadhaa kutakuwa na ongezeko la watu kwenye matatizo ya moyo kwa sababu ya kubeti...

Baba Uzia

Senior Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
136
Reaction score
54
Nisipoangalia vzur naweza kuwa muathirika Wa hilo tatzo kwani kubeti kunasababisha presha hasa pale unapokuwa unafatilia mechi/timu ambayo umeibetia.

*HOJA*

Sent from my UTAJIJU SMARTPHONE.
 
Nisipoangalia vzur naweza kuwa muathirika Wa hilo tatzo kwani kubeti kunasababisha presha hasa pale unapokuwa unafatilia mechi/timu ambayo umeibetia.

[HASHTAG]#HOJA[/HASHTAG].

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Acha kubeti, hela yako fanyia biashara

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]

Sent from UTAJIJU SMARTPHONE
 
Mwezi wa 8 unakaribia mjiandae kwa heart break
 
Bia huwa sinywi

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Vuta hata bangi kama mimi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Bet kistarabu.

Bett what you can afford to lose!
 
Hapa nasumbuka na perfect12

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Mjinga pekee ndio atapata hiyo attack
Ndio maana wameandika
Bet what you can afford to lose
 
Najiandaa kurud kazn
Hapa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
kama hutak presha bet timu mbili au moja weka mzigo,sasa ww timu 20 unataka zote zishinde wewe ndiye unayecheza?
 
Ukiliwa.wewe nenda ukalale bhas.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Na uzeeni ugonjwa wa kukutetemeka utawahusu wote wanaobet
 
(1) Sport Pesa
(2) Meridianbet
(3) Premier betting
(4) Princess bet
(5) Play Master
(6) Mkekabet
(7) Crone bet
(8) M-Bet
(9) Supabets

Tupo pamoja, sometimes mnatukomboa sana. Kwa wadau wa kutundika mikeka tubetini kistaarabu tutamnyuka Muhindi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…