Baada ya miaka kadhaa kutakuwa na ongezeko la watu kwenye matatizo ya moyo kwa sababu ya kubeti...

Sport Pesa nao wanadhani hapa ni Kenya 2000/mkeka wa Jackpot wamejichanganya. Kuweka pesa kwenye akaunti mnakata halafu kiwango kiko juuuu! Big up M-bet

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Acha kubeti, hela yako fanyia biashara

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona hata wafanya biashara wana bet?
 
Mbona hata wafanya biashara wana bet?
Nilimwambia aache kubet hela yake afanyie biashara, soma maelezo yake ya mwisho![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…