Baada ya miaka kadhaa ya ndoa, nimegundua watoto wote si wangu

Pole sana mkuu! Jamani ukizaa mtoto wa kwanza ukaona sura ipo mbali nawe, ukazaa tena wa pili na yeye akawa hivyoivyo, Hata kama wanafanana na mama yao fanya hima upate vipimo vya DNA, Vinginevyo kuna janga mbele yako!
Ukishagundua sio..Unaanzaje kumchukia/kumdenounce mtoto mliyetengeneza nae bond kwa muda mrefu?

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Hao watoto ni wako hizo dna ni za uongo uongo tu kama ramli za kwa waganga. Kama wewe ndio mwenye ndoa hao watoto wa kwako. Hakuna mzinifu alie na mtoto

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume kama huna uwezo wa kupata watoto mkeo akikuletea wa nje tulia maisha yasonge.
Ni sawa na wanaume wanaozaa nje kama mke hana uwezo wa kuzaa.
Tulieni.
Kwahiyo haya ndio yanayoendelea kwenye ndoa ZENU

Ni kuchepuka na kazilisha (Shwa) tuu?

Laiti kama dunia ingenielewa KUSINGEKUWA NA KUOA.

#YNWA
 
Mwanaume kama huna uwezo wa kupata watoto mkeo akikuletea wa nje tulia maisha yasonge.
Ni sawa na wanaume wanaozaa nje kama mke hana uwezo wa kuzaa.
Tulieni.
Hii sio sawa mnahalalisha uzinzi ndani ya ndoa

Watoto wakalelewe na baba zao.
 
Kwahiyo haya ndio yanayoendelea kwenye ndoa ZENU

Ni kuchepuka na kazilisha (Shwa) tuu?

Laiti kama dunia ingenielewa KUSINGEKUWA NA KUOA.

#YNWA
Hayajaanza leo hakuna cha ajabu hata wanaume mke asipozaa anaenda kuzaa kwingine. Kwanini mtu afe hajapata mtoto na kizazi anacho? Unaijua stress ya kutopata mtoto?
Halafu kama unaoa ili dunia ikuone inashangaza.
 
Hao watoto ni wako hizo dna ni za uongo uongo tu kama ramli za kwa waganga. Kama wewe ndio mwenye ndoa hao watoto wa kwako. Hakuna mzinifu alie na mtoto

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
DNA za uongo, wewe uko dunia gani?

Nawashauri muangalie kipindi cha Paternity Court cha jaji Lauren Lake uone kama DNA ni uongo. Vipo kibao kwenye youtube na vitawafungua ubongo wengi.
 
“Kwanini sikuwa na kimada nje”

Hiyo ni point ambayo ME wote ni lazima tuifanyie kazi

Hata serikali kuna checks and balances
 
Mkuu wataelewa tu polepole
 
Kuna uwezekano jamaa hayuko Sawa kwenye masuala ya uzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…