Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseedaaah ,hizi mada hata kama unamwamini mke wako unaweza beba watoto wote ukawaswaga kwa DNA .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseedaaah ,hizi mada hata kama unamwamini mke wako unaweza beba watoto wote ukawaswaga kwa DNA .....
Yanini yote hayo ukiona mwanamke wako ameanza mambo ya michepuko na ukathibitisha kaa nae mbali.Kisa Chako Kinafanana Na Kisa Kimoja Hivi, nilikishuhudia ingawa Jamaa yeye Alikuwa hana Kabisa Uwezo wa Kuzaa. Alipooa huyo Mwanamke alimvumilia Wakaenda Mpk Hospitali kupima ila Kila Mtu kivyake. Mwanamke Alikuja Gundua Kwamba Mme wake ndio ana Shida. Kumbe Tayari alikuwa Ameshabeba Mimba Ya Mchepuko
Daaah Mwanamke anaweza Kuishi na Wewe Kwa Miaka Mingi ila Anajua Mwenyewe anachofanya Humo kwenye Ndoa na Huwa Hawajali wala Nini. Na Unapompiga ukihisi atabadilika ndio anazidi kuweka Chuki
Sisi wa Masai hatuna watoto wafupi mtoto akiwa mrefu ni wangu huyo, period.Mwanachama #002
Shangazi Lisa Naomba unipostie ID yang ficha!
Shangazi amini dunia hii ina mambo mengi, changamoto za ndoa hazifanani ,yakwangu imenijia vibaya! Sijajipanga kwa
Sorry, ila ...Tunapolea watoto wa nje wa waume zetu mnatuchukuliaje? Malipo ni hapa hapa duniani
Wanaume mmeumbwa mateso siwezi waoneoa huruma hata kidogo.Sorry, ila ...
Kwanini wewe huwa siku zote ni mfurahia mabaya ya wanaume?
Kwani mumeo kakufanya nini ambacho mwanaume akipata shida huwa unafurahi.
Hii post ni ya 2021 na unafurahia Majanga ya mwanaume na Leo ni 2023 Ila pia unafurahia Majanga ya wanaume.
Umeolewa ila mwanaume akipata Majanga huwa unafurahi balaa..!!!
Kwahiyo hao waume zenu kwenye ndoa ndio wanalea mioyo YENU ya namna hii?
#YNWA
Na mumeo unahitaji yamtese?Wanaume mmeumbwa mateso siwezi waoneoa huruma hata kidogo.
Kama ambavyo sikushashai tena na kataa ndoa yako inabidi na wewe usishangae jinsi navyofurahia majanga ya wanaume.
Mapenzi ya kiwatesa kwa kweli huwa nafurahi yaani naburudika moyoni sijui kwanini.
Kwa jins watoto wangu wanavyofanana. Naamini siwez situkiwaMwanachama #002
Shangazi Lisa Naomba unipostie ID yang ficha!
Shangazi amini dunia hii ina mambo mengi, changamoto za ndoa hazifanani ,yakwangu imenijia vibaya! Sijajipanga kwa hili kabisa! Na hapa najuta kwanini nilioa! Shangazi natoa mkasaa wangu nivumilie 2 maana ni aibu sana!
Nijitambulishe kama Omari... Mm nilioa mwanamke mmoja hii wa kizigua anaitwa Mwajuma! Na sasaiv tunatimiza miaka 16 pamoja! Katika ndoa yetu Tumejaliwa watoto watatu...
Shangazi Kamwe katika akili yangu sikuwahi kufikiria kuwa nitakua nikipenda watoto na kulea watoto ambao sio wangu... Watoto wa mwanaume mwingine! Hii kitu inauma sana sana! Na siku zote mwajuma alikua ananificha!
Nilipomuoa mwajuma nilikua na miaka 26 nilimzidi mwajuma kama na miaka 3 hivi ingawaje sina uhakika maana asilimia kubwa ya wanawake wa Handeni wengi elimu yao ni ya kuunga ungaa! Hii ni binafs lakin!
Sasa tokea nimuoe mwajuma nilijua nitakua na familia yenye furaha sana maana alionesha ananipenda na kunijali sana! Nina imani walio wai kupata watanga kidogo watanielewa walivojua ku care mwanaume!
Nilipomuoa mwajuma tulikaa miaka mitano! Ya panga pangua lakin hatutupata mtoto! Hapa wote tuliingia wasiwasi... Nimeshinda vijiwe vya kahawa na nimetumia sana dawa za miti shamba! Masheikh walipita na "kahawa dawa" wengine alkasusi yote hayo nimetumia! Nikiamini naboresha mechii...
Lakini ndani ya miaka 5 hiyo tumeishii na wasiwasi sana! Tukaona isiwe swala tukaenda hospitali kupata vipimo kwa kweli kila ki2 kilikua shwari na tulishauriwa tule matunda na tufanye mazoezi na tumuombe mungu maana uwezo wa kuzaa tunao!
Kweli ilipita kama miezi mitatu hivi mwajuma kaanza kupata magonjwa madogo dogo na ilipobainika ni dalili za mimba basi shangazi sikufichi nilifurai sana sana nilijua ni mwezi wa furaha kwani tuliianza rasmi kupangilia maisha kwa ajili ya mtoto
Miezi nane na masiku hivii mwajuma Alizaa mtoto wetu wa kwanza, mvulana,na hapo badae ndani ya kipindi cha miaka minne, tulikuwa na watoto wengine wawili, msichana na mvulana mwingine.
Kwa kweli mjomba magu alivoingia madarakani mambo yalibana sana na Tuliamua tuache kwanza maswala ya kutafta watoto wengine ili tuwape watoto hawa maisha bora. Shangazi yaani nilijitutumua na Nilihakikisha wamehudhuria shule nzuri zenye sifa hapa Dar
Wakati wa weekend niliwazoesha kuwatoa hata out kuwapeleka kigamboni ,watoto wakiogelea na mm na mama watoto tunapanga mikakati ya maisha! Nilihakikisha nimewafurahisha na hakuna walichokikosa
Lakini sasa, furaha hiyo ilipunguzwa ghafla wakati kuna mtu mmoja hivi alipiga simu ya mwajuma nikaona isiwe kesii nipokee nimwambie kua mwenywe katoka atarudi... Japo niliskia ni sauti ya kiume lakin nilichukulia huenda ni mteja wake maana nilimfungulia sehemu ya kuuza mkaa... Anatoa shamba analeta huku dar anapiga hela...
Siku nyingine namba ile ile ikapiga lakini jamaa alionekana kama anahasira! Sasa mm uvumilivu ukanishinda maana mke wakwangu hata kama nj mteja anawezaje kumfokea mke wangu.. Basi pale jamaa kamwaga upupu kuwa mtoto wa kiume wa mwisho ni wake! Na anamtakaa damu yake haiwezi kukaa mbali nae
Mm yale maneno nikamuuliza mwajuma huyo mtu anaishi wapi kutokana na hasira zangu nilimfata maana ilikua ni mtaa wa pili nikachukua pikipiki kwa mwanagu mmoja nikaamsha!
Kulizuka fujo na tukajibizana vibaya tukaona ilipofikia sasa ni kuweka heshima! Basi tukaanza kunyukana na nilivokua na hasira nikamkalisha chini na makonde! Majirani waliita polisi na tukapelekwa kituo cha mburuhati
Tulipofika kituoni,jamaa alilalamika kuwa kufanyike vipimo na polisi walishauri twende kupima DNA na nilijiamini maana mwajuma cjawai kuskia skendo zake tokea tuna anza kudate!
Lakini nilipigwa na butwa kubwa sana majibu kuja na ilithibitishwa kuwa sikuwa baba mzazi wa mtoto.
Wakati bado katika hali hiyo ya mshtuko...nilivurugwa kiasi cha kwamba nikajiona hanisi... Sasa yule daktari kaniita pembeni na kusema " bro aiseh polee embu jikazee kiume! Kaza kifua, ila mm ningekushaur upime na hao wengine! Huenda kuna siri nzito" nikasema sawa!
Watoto wakaletwa na majibu yalikuja kuwa sio wakwangu. nilikuwa nikitunza watoto wa wanaume wengine. Hapo ndipo mwajuma alipokiri kwamba wakati sikuweza kumpa mimba miaka yote hiyo aliamua kulala na wanaume wengine
Yaani pale kama sio yule daktari aki ya mungu mwajuma angekimbizwa chumba cha kuhifadhia maiti huko hospitali.
Sasaiv siamini nina miaka 42 sina mtoto sina mke! Yaani inauma sana! Najiona nimepoteza mdaa wangu bure! Najuta kwanini sikua na kimadaa njee! Kwa kweli tupo hapa tunaendelea na kesi ya Talaka
Napenda nishauriwe kwa kweli inauma! View attachment 1863504
Kama anastahili yamteseNa mumeo unahitaji yamtese?
#YNWA
Nini kirifuata baada ya mume kuona anamimba mkewe.Kisa Chako Kinafanana Na Kisa Kimoja Hivi, nilikishuhudia ingawa Jamaa yeye Alikuwa hana Kabisa Uwezo wa Kuzaa. Alipooa huyo Mwanamke alimvumilia Wakaenda Mpk Hospitali kupima ila Kila Mtu kivyake. Mwanamke Alikuja Gundua Kwamba Mme wake ndio ana Shida. Kumbe Tayari alikuwa Ameshabeba Mimba Ya Mchepuko
Kamfichia aibu gani wakati sio hanisi?Baba ni social role tu sio biological! Mtoto ni wa mama.
Eye kakufichia aibu yako. Lea tu ilimradi anakuheshimu!
Hata jogoo hajui watoto wake!
😀🤣🤣🤣😆 Jinga hiliMwanachama #002