Baada ya miaka kadhaa ya ndoa, nimegundua watoto wote si wangu

Yanini yote hayo ukiona mwanamke wako ameanza mambo ya michepuko na ukathibitisha kaa nae mbali.

Temana nae maana furaha yako ni muhimu zaidi ili ustawi.
 
Mwanachama #002

Shangazi Lisa Naomba unipostie ID yang ficha!

Shangazi amini dunia hii ina mambo mengi, changamoto za ndoa hazifanani ,yakwangu imenijia vibaya! Sijajipanga kwa
Sisi wa Masai hatuna watoto wafupi mtoto akiwa mrefu ni wangu huyo, period.
 
Tunapolea watoto wa nje wa waume zetu mnatuchukuliaje? Malipo ni hapa hapa duniani
Sorry, ila ...
Kwanini wewe huwa siku zote ni mfurahia mabaya ya wanaume?
Kwani mumeo kakufanya nini ambacho mwanaume akipata shida huwa unafurahi.

Hii post ni ya 2021 na unafurahia Majanga ya mwanaume na Leo ni 2023 Ila pia unafurahia Majanga ya wanaume.

Umeolewa ila mwanaume akipata Majanga huwa unafurahi balaa..!!!

Kwahiyo hao waume zenu kwenye ndoa ndio wanalea mioyo YENU ya namna hii?

#YNWA
 
Wanaume mmeumbwa mateso siwezi waoneoa huruma hata kidogo.
Kama ambavyo sikushashai tena na kataa ndoa yako inabidi na wewe usishangae jinsi navyofurahia majanga ya wanaume.

Mapenzi ya kiwatesa kwa kweli huwa nafurahi yaani naburudika moyoni sijui kwanini.
 
Kama bado una nguvu hebu chepukia mahali ili upate mtoto wa damu yako. Ila kwa sasa kariri tu "kitanda hakizai haramu".
 
Na mumeo unahitaji yamtese?

#YNWA
 
Kwa jins watoto wangu wanavyofanana. Naamini siwez situkiwa
 
Nini kirifuata baada ya mume kuona anamimba mkewe.
 
😀🤣🤣🤣😆 Jinga hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…