sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Hamma kitu hapo.kwa sasa bila kupepesa macho....kijiti chake kinashikiliwa na nandy kama sio vanessa mdee
Ni kweli ila waliopo wameshindwa kushindana hata na nyimbo zake za zamani.Kusema kweli amebaki na sifa ya u legend ila kwasasa hakuna anachoimba nyimbo zake nyingi kwaya si kwaya melody zake hazivutii basi tu amebaki na heshima ya u legend na die hard fans.
Hata mnaomsifia si ajabu kwenye list za nyimbo zenu hakuna nyimbo zake mpya ila utakuta mna nyimbo za akina nandy lulu diva na madada wengine.
Na yeye ameshindwa kufunika nyimbo zake za zaman kwa sasa yani hatoi nyimbo za kushtua amekuwa kama crazy GKNi kweli ila waliopo wameshindwa kushindana hata na nyimbo zake za zamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli ila waliopo wameshindwa kushindana hata na nyimbo zake za zamani.
Bora Nandy,maana nililazimika kumtafuta baada ya kunikonga moyo..sikuwa namfahamu kabisa.Vanessa ni mara tano zaidi ya Jide!
huyu nae azae sasa wenzake wote wanaitwa mama....
Mziki umechange huwezi fanya kitu chochote zama hizi ukakifanya vile vile kama kilivyofanyika miaka 10 iliyopita utafail.Vijana wa siku hizi mna matatizo sana.
Huyu dada hana wa kufananishwa nae hapa bongo.
Huu wimbo wake tu huwezi kufananisha na nyimbo zote za Nandy.
Vijana fateni maudhui sio sura wala makeup.
Huyo nandy wenu anaweza kusimama bila promo kama huyu dada?
Mkuu unajikanyaga mwenyewe.Mziki umechange huwezi fanya kitu chochote zama hizi ukakifanya vile vile kama kilivyofanyika miaka 10 iliyopita utafail.
Mziki bila promo now ni ngumu, kipindi jay d anaanza mziki nyimbo zilikuwa chache hata vituo vya redio vilikuwa vinapokea nyimbo chache na kulazimika kuzipiga zote yani zamani kuingia studio ukarekodi ndiyo ilikuwa kazi, ukisharekodi basi ujue umetoboa tu ndiyo maana hata watu kama akina dudu baya waliweza kutoboa.
Unaufahamu mziki flani jamaa anaimba lafudhi ya kichaga ambaye sasa hivi ni mmoja wa watengenezaji wa kipindi cha ubongo kids yule anaongea sauti ya yule twiga,
Aliimba mziki sijui ni jinsi gani ni namna gani tutawin maishani ....
Ile ilikuwa ni freestyle studio baada ya jamaa yake kufunga vifaa wakawa wanavijaribisha lakini kutokana na nyimbo kuwa chache wimbo ule ikaenda redioni.
Hata biashara now zinahitaji promo ndiyo maana sehemu kubwa ya muda kwenye tvs na redio utaona ni matangazo ya kibiashara tofauti na zamani.
In short kwasasa mziki unahitaji promo zama zimebadirika bila promo lazima ufail ndiyo maana kuna nyimbo nzuri hazijahit coz zimekosa promo kisa waimbaji ma underground hawana ela
Lady jay d kabaki na heshima ya ukongwe kwasasa hana mziki mzuri ana nyimbo hazina hata melody za kueleweka anaimba mziki kwaya si kwaya wala nini.Vijana wa siku hizi mna matatizo sana. ?