Hawa wanaotoa hoja za kifo kisa tu mtoa mada kauliza miaka 5 ijayo ya hao mastaa wananishangaza sana, so kwa sababu kuna kufa ndo mtu asifikirie ya mbele? Mbona watu wanaingia mikataba ya miaka 10 na zaidi kwani hawajui kuna kufa au haya mashirika ya pensheni wanatuwekea mafao ya uzeeni wanajua tutafika? Hata kwenye job interview tunaulizwaga plan za miaka ijayo, lkn hatujibu "mi sio Mungu nitajuaje au nikifa je?" Hapa duniani wote tunajua tunapita lkn mipango yetu tunaipanga kama vile tutaishi milele, ikitokea tumekufa basi story inaishia hapo so msimkomalie mtoa mada kuhoji miaka 5 ya baadae ya Wema, nafikiri ameguswa na lifestyle ya hao masupastaa akapata shauku ya kutaka kujua baadae watakuaje, we ukiona uzi unakuboa pita kimya kimya.