MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 629
- 658
- Thread starter
-
- #21
Wewe mleta mada wewe mwenyewe maisha yanakushinda 5 years unajua utakuwa wapi?Acha ubonya wa kuoneana wivu fanya yako.Hapa kila mtu hajui kesho bill gates mwenyewe kesho sio ajabu akagongea 100 au utajiri wake ukadouble yote yanawezekana so piga kimya.
Jf kuna matahaila wengi mleta mada akiwa miongoni mwao.
Jamani tutenge wakati wa kutakiana mema sisi kila waqt kuwaziana mabaya!
Mungu ni wako pekee yako,jiangalie baada ya miaka 5 mwenyezi mungu akitupa uhai uje ujitathimini upyamie ntakua na endorsement za kutosha
Mambo yatakua magumu kwao umejuaje? Wewe ni Mungu? Sometimes tuwe tunafikiria mambo ya maana.Wakati kama huu nchi ipo kwenye attention kubwa ya kura ya maoni ya katiba na uchaguzi mkuu wewe unawaza miaka mitano baadaye ya akina wema!
Wewe mleta mada wewe mwenyewe maisha yanakushinda 5 years unajua utakuwa wapi?Acha ubonya wa kuoneana wivu fanya yako.Hapa kila mtu hajui kesho bill gates mwenyewe kesho sio ajabu akagongea 100 au utajiri wake ukadouble yote yanawezekana so piga kimya.
JF kila mtu anaongea lake tu, duh Bill Gate agongee 100! Ngoja mie niende kwa mama muuza anipe cha mia tano niongeze siku za kuishi.
[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Message sent.
Hawa wanaotoa hoja za kifo kisa tu mtoa mada kauliza miaka 5 ijayo ya hao mastaa wananishangaza sana, so kwa sababu kuna kufa ndo mtu asifikirie ya mbele? Mbona watu wanaingia mikataba ya miaka 10 na zaidi kwani hawajui kuna kufa au haya mashirika ya pensheni wanatuwekea mafao ya uzeeni wanajua tutafika? Hata kwenye job interview tunaulizwaga plan za miaka ijayo, lkn hatujibu "mi sio Mungu nitajuaje au nikifa je?" Hapa duniani wote tunajua tunapita lkn mipango yetu tunaipanga kama vile tutaishi milele, ikitokea tumekufa basi story inaishia hapo so msimkomalie mtoa mada kuhoji miaka 5 ya baadae ya Wema, nafikiri ameguswa na lifestyle ya hao masupastaa akapata shauku ya kutaka kujua baadae watakuaje, we ukiona uzi unakuboa pita kimya kimya.
Hahahaaa,ukweli mchungu kwelikweli!hahahaaa.. sijui kwanini ukweli hua unauma...
Mambo yatakua magumu kwao umejuaje? Wewe ni Mungu? Sometimes tuwe tunafikiria mambo ya maana.Wakati kama huu nchi ipo kwenye attention kubwa ya kura ya maoni ya katiba na uchaguzi mkuu wewe unawaza miaka mitano baadaye ya akina wema!
Mbona ndiko nilikohamishia majeshi siku hizi? Naenda na wakati bwana huku nakuja kupiga umbea kidogo.Nenda kwenye jukwaa la siasa kama unataka stress za uchaguzi.
Wewe umekuta ndizi nyama kwenu basi umevuta hand break unajua haviishi.
Bill gates anaweza .......
Utanijibu ooh dola billion 87 kuisha ni impossible.
Wewe kama unamkataba na mungu good for you.