Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Brightburn

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2020
Posts
533
Reaction score
893
Wakuu, heshima zenu! Leo nakuja na mada tofauti kabisa, naombeni ushauri wenu.

Mwaka 2024 niliachana rasmi na binti tuliyependana sana! Chanzo kikubwa cha mahusiano yetu kufa ilikuwa familia yake hasa baba wakubwa (wana maamuzi sana kwasababu baba wa huyo binti alishafariki). Nilianza mahusiano na huyo bitni mwaka 2020 na kiukweli tulipenda sana pasipo kujali changamoto tulizokuwa tunakutana nazo. Mwaka 2021 alimaliza chuo kwahiyo tukaanza kuishi pamoja na nilimtolea barua kabisa ili itambulike kuwa tunaishi pamoja, familia zilifurahi sana na kukawa na urafiki mkubwa!

Sasa, kisanga kilianza ile ile siku ya kwanza mimi kufika kwao nikakutana na mama yake na kaka yake mwenye miaka 40. Wakati nawaaga na kuingia kwenye gari, kaka yake akaja mbio mbio na kuniambia "bwana shemaji vp, sasa nna ujumbe wako hapa kutoka kwa mama" akanipa kikaratasi kimekunjwa na kunisihi sana nikakisomee mbele ya safari, nikasema hakuna shida bwa'sehemeji. Nipotoka yale mazingira tu ilibidi nipaki pembeni nifungue kile kikaratasi maana nilishindwa kuvumilia, aise!!! Kilikuwa kimandikwa hivi "habari mwanangu nimefurahi binti yangu kapata mchumba mzuri tena anaejiweza ila sasa mimi na shemeji yako tunaomba utusaidie Tsh 2,000,000 tukalipe deni tunalodaiwa nyumba isiuzwe lakini naomba mwezio asijue hili" nilichoka 😄😄.

Ukweli ni kwamba nilijikaza nikampatia huyo mama kiasi alichoomba, lakini sikufahamu kuwa nilikuwa nikijichimbia shimo! Sikushangaa mama mkwe kuniomba pesa, nilishangaa mama mkwe kuniomba pesa siku ya kwanza kabisa kuonana tena yeye na shemeji mwenye 40years na wakisisitiza mwenzangu asijue hili jambo! Maisha yakasonga, lakini naweza sema vibomu vilivyoendelea hapo ningeweza jenga nyumba nikapangisha kabisa na tena sio nyumba ya kitoto. Lakini nilichofurahi ni yule binti alikuja kuona ile karatasi siku moja akiwa anatoka na gari maana nilikichomeka pembeni ya mlango kwa chini kule sasa sijui alitafuta nini huko hadi akakiona, aise alienda kumuwashia moto mama yake na kaka yake! Binti alikuwa upande wangu kwa 100% nisiwe mnafiki kwenye hilo! Na kuanzia hapo vibomu vilipungua.

Sasa huyu binti ni wa kilokole kwahiyo suala la mtoto aliniomba sana tufunge ndoa ndio tupate mtoto, nilikubali lakini nikamwambia vumilia tujipe muda maana kipindi hicho mi nilikuwa nna 29 na yeye alikuwa 26, kwahiyo tukaamua kujipa muda tupambane na maisha then tutafunga noda at least nikifika 32 ili tuwe tumeshaweka mambo sawa. Aise tatizo jipya lilianza kutokea nilipofika hiyo 32, mama mkwe sijui alienda kukopa wapi pesa tena nyumba ikaanza kupigwa mnada inauzwa! Kwahiyo wakaanza kuniforce tukomboe nyumba, mbaya zaidi kipindi hicho binti akawa upande wa mama yake sasa! Nikamwambia binti unajua kabisa tulikuwa tunajiandaa kwaajili ya ndoa na tena muda ndio umefika, inakuaje sahivi unataka haya maandalizi yote yakakomboe nyumba tena? Mama mkwe alikuwa anadaiwa kama 27m hivi.

Mi sikukomboa nyumba, nilichowashauri kwasababu nyumba ilikuwa Ubungo riverside karibu na barabarani kabisa nikawashauri iuzwe, deni lilipwe, then kiasi kinachobaki tutafute nyumba ya bei nafuu tu eneo jingine au hata kununua kiwanja huko Mbezi - Kibaha tujenge. Walinishambulia sana lakini mweisho walikubali, nyumba ikauzwa 90M wakalipa deni na vigharama vingine ikabaki kama 55M hivi. Sasa bwana, mama mkwe akabadili maamuzi baada ya kushika 55M mkononi, akaamua kuwa atampangia kijana wake nyumba makumbusho, kisha yeye ataenda kijijini kuanza maisha na ndugu zake ambao ni wafanyabiashara Mbeya huko, kisha binti yake atampa kiasi kidogo kwasababu tayari kuna mtu anamuangalia ambae ni mimi sasa. Nakumbuka binti yake alipewa only 2M kwenye 55M, kijana wake akampa 10M kisha yeye akaondoka na iliyobaki. Na kweli, alinunua kiwanja kijijini kwao huko akajenga nyumba frsh kabisa, ila sasa alivyomaliza kujenga tu pesa yote ikaishia pale akaanza usumbufu tena akisema yeye hawezi kuishi kijijini kwahiyo anaomba tumrudishe mjini, tumpatie pa kuishi, na tumfungulie biashara!

Mi ilifika mahali nikawa sipokei simu zake! Siku moja narudi nyumbani Makumbusho nashangaa ananipokea mlangoni, karibu mwanangu! Kumbe binti yake ndio alimtumia nauli na kumwabia aje tutamsaidia, ilibidi nito 15M kumpangia, kumtafutia dada wa kazi, na kumfungulia kabiashara kadogo tu ka urembo za kike maana alikuwa akipenda hiyo biashara. Mwezi tu ulipita, lile duka lilikufa na yule dada aliondoka maana alishindwa visanga vyake! Akaanza kuja nyumbani analia kilasiku anasema asiposaidiwa atajiuwa! Hapo sasa ndo ugomvi na mwenzangu ulianza maana mimi napambana kuweka mambo sawa tuoane tuanzishe familia, yeye anaomba pesa tumsaidie mama yake, huku kaka yake nae anakuja kunililia pia na ana around 43 that time lakini haelewi ni nini anafanya kwenye hii dunia! Wakati nawazia hilo, ndo baba wakubwa wawili wakaanza kuingilia kwamba wanataka huyo binti atolewe mahari na harusi ifungwe within 1 month! Aise, nilihis nachanganyikiwa maana hata mimi kwa upande wangu nna mama pia, baba, wadogo zangu na hao kuna muda wanahitaji support maana wazazi umri ushakwenda sana!

Sasa jambo la ajabu kabisa ni kwamba yule binti nae akaanza kelele kwamba nilimuahidi tutafunga ndoa nikifika 32 ila mwaka unaelekea kukatika, nilimshangaa na kumlamba kibao kimoja takatifu kwasababu anajua chanzo cha hiyo mipango kuharibika, nimetoa 15M kumsaidia mama yake, bado namsaidia kaka yake, bado ndugu zangu wananiangalia, na mama yake ile 15M kaimaliza kijinga sasa anasema tusipomsaidia tena anajiuwa! Mchumba hakuelewa akanizidishia presha za ndoa, siku moja narudi home nakuta dada wa kazi tu, namuuliza dada yako yukowapi anasema kabeba mabegi kaondoka na mama! Nacheki ndani kwenye safe ya akiba nakuta ipo empty wakati ilikuwa na akiba ya matumizi ya nyumbani ya karibia mwaka mzima! Nikampigia simu akapokea vizuri tu, akaanza kuongea kama kawekewa betri akisema nimfate kwa mama yake nikiwa na 15M nyingine ili mama yake aanze biashara upya na niongeze 2M ya mahari, la sivyo nisimfuate! Ndugu zangu, ninachoandika hapa si hadithi bali ni maisha niliyoyaishi na mchumba wangu.

Ikabidi nimtafute ba'mkubwa wake mmoja ambaye ndo msimamizi wa hiyo familia, nikwamweleza yote hadi nilivyowasupport kuanzia day 1, ajabu ni kwamba aliniambia "unafikiri familia yetu niya kuteseka, kama huwezi kuwasaidia hiyo 15M hata mahari usilete" nikagundua kwamba lao ni moja! Nilichokifanya nilipiga simu moja tu kwa yule binti nikamuuliza, pasipo hiyo 15M hatuwezi kuendelea kuwa pamoja? Akanijibu kwa ujasiri NDIO. Nilipokata ile simu mwaka 2024, nilijiwekea viapo vyote na kusema kama nitamtafuta huyu mwanamke basi mi nitakuwa sio mwanaume! Zilipita kama wiki mbili hivi yeye mwenye akanipigia, akaniambia kwahiyo nimeamua kukaa kimya? Nikamwambia sio nimekaa kimya, ila nimefuata ulichoniambia kwasababu siwezi kutoa hiyo 15M, msaada niliyompa mama tayari unatosha na isitoshe kaka yako ana nguvu za kutosha apambane hawezi shindwa kumlisha mama tu! Aise nilipokea tusi moja hilo ambalo sijawahi tukanwa tokea nimeliona jua! Sikujua nimjibu nini ila nilitamani angekuwa karibu yangu muda huo, aise! Nilijikuta namwambia sawa mama asante, uwe na maisha mema upate kidume ataempa mama yako 15M, mahari ya 2M, kumsaidia kaka yako mwenye miaka 43, na kukuoa.

Mi niliendelea na maisha yangu, sasa mwaka huu 2026 wiki iliyopita yule mama alinitafuta! Alikuwa analia aise, anasema yupo kijijini kwasababu mjini anatafutwa maana kijana wake alikopa kama 7M hivi na yeye ndio alikuwa mdhamini wake, ila hawawezi kulipa hiyo pesa! Binti yake anafanya kazi kwenye kampuni moja ya Marketing kama secretary na analipwa 300K per month, huyo ndie analipa kodi kwenye vyumba viwili wanavyokaa wote watatu, na huyo huyo ndio anamlisha mama yake pamoja na kaka yake! Ananiambia binti yake amekata tamaa ya maisha, amekonda na amekuwa ni mtu wa kuumwa tu sababu ya kujiona hana bahati (depression), kwahiyo ananisisitizia nimtafute niongee nae! Nikamwambia tu sawa kisha nikakata simu.

Nikakaa kimya kama siku 2 hivi nikaona namba mpya inanipigia, kupokea ni yule binti! Kwanza alikuwa analia, pili akaanza kuomba msamaha (mi nipo kimya tu), tatu akasema yupo tayari anizalie hata leo na hata nisitoe ile mahari tena! Ukweli ni kwamba sijaoa hadi sasa, lakini siwezi rudiana na huyu binti sababu ya huruma! Ingawa wsingekuwa ndugu zake pamoja mama yake, ni binti mmoja safi sana! Nna mtoto wangu mmoja ambae nimezaa na dada wa kihindi (yupo kwao India sahivi) mtoto niko nae mimi, sasa dada yangu alimweleza kilakitu huyo X wangu na anasema yupo tayari kuja kumlea mtoto na kuolewa bila mahari kama fidia ya yale mambo ya nyuma! Anatia huruma, lakini sitaki huu uwe mtego wa kuniharibia tena!

Hili sakata lingekupata wewe ungechukua maamuzi gani mdau?
 
ww ni taira mkuu!!.

ila una mawe aisee.
 
Hili ni tangazo kuna binti anatafutwa hapa akaliwe🤣
 
Wewe umetumia hela vibaya. Hapo umepoteza zaidi ya 100M na hakuna ulichopata zaidi ya maudhi. Sasa tafuta 100M nyingine, kuna mahali nitakueleza uende, huko mahari ni 10,000 tu.

100,000,000 ÷10,000 = 10,000. Yaani utajipatia wake mbadala 10,000
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Stori z kutunga hizi
 
Usizisogelee hizo takataka!

Ogopa sana kuoa mwanamke anaeongea sana, ogopa sana kuoa mwanamke ambaye anasapotiana na ndgu zake wew unakuwa mnyonge, ogopa sana mwanamke anayetaka kile anachokifikria yeye wew ukifate (yaan akuendeshe, ufanye analotaka yeye). Ogopa ogopa utavuruga maisha yako!

Kumb; unaelekea nusu ya maisha yako, usiiruhusu hiyo takataka itakuharibia maisha!
 
Aisee aisee aisee.

Usifanye maamuzi ya haraka.
 
Back
Top Bottom