Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Interesting part kwenye hii story kwangu ni

Hapo uliposema huyo shemeji Yako mwenye miaka 43 alipokuja kuishi kwako

Nataka kujua ulikua ukitoka unamwachia Hela ya matumizi, je ni nani alikua anapika, humo ndani mlikua mnapiga story Gani na alikaa kwa muda Gani

Kama sio chai basi Dunia Ina watu wengi sana
 
Endelea na maisha yako..huruma sio malezi..
 
Kati ya kitu sipendagi ni kuwapa wazazi wangu stress maana umri zimesonga kidogo, ndomana binti alivyoanza madudu basi sikuwaeleza kabisa zaidi ya dada angu mmoja ambae alianza kuelewana na mimi baada ya kuachana na hiyo familia 😄
Kuna mambo ukipitia mzazi wako ni rahisi kujua unless huna ukaribu na wazazi wako au hii ni story ya kuchangamsha kijiwe! Yani unatoa millioni 15 unawapa ukweni?? Hata mama yako angejua angekuona huna maana!
 
Yani unataka ushauri gani?? Kama hujui cha kufanya mpaka sasa we mrudie tu huyo mwanamke maana unaonekana huna akili timamu🚮
 
Mungu alikuondolea mwiba wewe unautaka tena? Shauri yako endekeza undezi kama hujazikwa kabla ya muda
 
Ila una ndugu hata mmoja uliyewahi kumsaidia hata laki 3 au mama yako mzazi na baba yako washashika million 1 yako kweli da Kuna watu mnaonewa sana lakini hapo huyo Binti anakuja na dawa kukuroga utakuwa zebwe mara tatu yake kabisa shtuka
Nakazia, kwa msoto walioupitia na kamserereko walikokapataga kwako kaa vizuri na Mungu maana sasa hivi ni kukupiga tu juju utulie!
 
Inasikitisha Yani ww kusex naye anakwambia mpaka ndoa ila wahuni boda boda wanampa vivocha halafu wanamtifua wanavyotaka front and back na mimba katoa Sasa anataka uje umtibishe Kisha ahangaike na ww si ukatafute katoto ka 2000 halafu angalia mwanamke asikuzidi vision akikuzidi ndio mambo kama haya Mimi wife aliniambia ndoa nikajibana nikatafuta pesa miaka kama miwili nikapata kama kamilion 4 hivi nikaja kupewa michongo ya upandaji miti nikanunua eka 5 kwa 3.5 nyingine nikapanda na miti ndugu kakalia siku mbili tatu sasahiv kananisifu kuwa na akili nzuri kijana acha upumbavu
 
15M++ parefu sana mkuu dah! Na bado hujaambulia kitu zaidi ya majeraha tu ya kisaikolojia? Na bado unaomba wananzengo wakupe justification ya kurudi kuliwa tena? Dah

Huu uwekezaji kichaa kabisa, yani unaweka fweza zote hizo kwa ntu mwenye net worth ya Zero? Unamuuliza what you bring to the table anakwambia tako! Shabbash...
 
una akili wewe ? kwamba duniani kumekosa wanawake?
 
Watu wengine, kwamba mna pesa sana ama! Anyway nafsi yako inasemaje, japo inaonyesha bado unampenda ila ni risk kishenzi🌚
Kwa akili angu kaka huyo mwanamke hata kumgusa nisingeweza tena bora nkalale na malaya
 
Kaka sijui hata kwanini unahitaji ushauri kwakweli watu Kama hao kimbia kabisa kaa nao mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…