Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Kwanza pole kwa yote,umepitia mlolongo wa misukosuko na kwa sasa wewe umeiva kabisa.Yaani umekomaa,tafuta mke uoe na wala usihangaike na sherehe we oa na uanze maisha.
 
Kama ungekuja na habari kuwa mama, kaka na baba mkubwa wamekufa, hapo tungekushauri huruma ukae na huyo binti kwasababu waalimu wake hawapo, kinyume cha hapo. Tafuta Mmachame uanze life mkuu.
 
kama ni story ya kweli basi nina uhakika, kabla mwezi huu wa kumi haujakwisha watakua wameshakupiga tena pesa ingine.
 
Unapatikana wapi mkuu?

Wewe utanifaa, una pesa nyingi za kuchezea..!!
Bidada karudi kwa mtoa mada, kaona sokoni pagumu, mwanaume akishampa buku ya vocha, anamwambia lodge ni wapi tukapumzike, kaona ohoo huku nje watu hawatoi hela kizembe ngoja nirudi kwa boya langu, boya nae kajanjaruka Lamomy Melancholic Brightburn
 
Kaka wa miaka 45 analelewa na shemeji yake? Hana hata kibarua cha kubrashi viatu mjini ili aendeshe maisha? Bro USIOE huyo mwanadada, anakuja kumalizia alichokianzisha!
 
Unapatikana wapi mkuu?

Wewe utanifaa, una pesa nyingi za kuchezea..!!
Naweza kukuambia ninapopatikana ila kwa darasa nililopitia upo tayari nimalizie hasira za ile familia kwako? Kuhusu 15M nitakupa 3x baada ya hasira kuisha, usijali πŸ˜„
 
Kaka wa miaka 45 analelewa na shemeji yake? Hana hata kibarua cha kubrashi viatu mjini ili aendeshe maisha? Bro USIOE huyo mwanadada, anakuja kumalizia alichokianzisha!
Point muhimu sana!
 
jamaa anamwaga mamilioni kila mara as if nivilaki laki tu, kwa kweli jamaa ana mawe πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kwa kijana yoyote wa 30s hapaswi kuogopa 7figures mkuu πŸ˜„
 
Umemkumbuka Kamanda Kweka
 
Bidada karudi kwa mtoa mada, kaona sokoni pagumu, mwanaume akishampa buku ya vocha, anamwambia lodge ni wapi tukapumzike, kaona ohoo huku nje watu hawatoi hela kizembe ngoja nirudi kwa boya langu, boya nae kajanjaruka Lamomy Melancholic Brightburn
Umesoma bro? Sasa mi nimesoma ila elimu niliyoipata kwa mke, mkwe na shemeji ni zaidi ya elimu ya grade1-chuo... We yasikie tu πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…