Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari


Miaka mitatu nyuma ulikuwa mtu wa kubeti tu tena stake bukubuku..hapa unatoa story ya kugawa mamilioni. Teknoligia haidanganyi na haisahau.
 
Kama ungekuja na habari kuwa mama, kaka na baba mkubwa wamekufa, hapo tungekushauri huruma ukae na huyo binti kwasababu waalimu wake hawapo, kinyume cha hapo. Tafuta Mmachame uanze life mkuu.
Safi, noted kiongozi. Shukran
 
View attachment 3687928
Miaka mitatu nyuma ulikuwa mtu wa kubeti tu tena stake bukubuku..hapa unatoa story ya kugawa mamilioni. Teknoligia haidanganyi na haisahau.
Sasa mkuu sio possible kupata mamilioni kwa 3 years?! Basi hiyo betting uliyoitaja utakuwa huijui vizuri 😄... Endelea kuchimbua vizuri utakutana na ambayo nniliisha hadi nikaaza kukodisha gari yangu kubeba maharusi, chimba vizuri utaona! Unashangaa kukopa kiwanja?! 😄
 
Naweza kukuambia ninapopatikana ila kwa darasa nililopitia upo tayari nimalizie hasira za ile familia kwako? Kuhusu 15M nitakupa 3x baada ya hasira kuisha, usijali 😄
Wacha weeehh 😹😹😹

Kwahiyo utanipa 45m

Hasira unataka kumalizia kwenye mbususu yangu?

Hiyo Naijua hiyo mwenetu..!!
 
Wacha weeehh 😹😹😹

Kwahiyo utanipa 45m

Hasira unataka kumalizia kwenye mbususu yangu?

Hiyo Naijua hiyo mwenetu..!!
Aaah! Unajua sahivi mambo mengi kwahiyo hata hamu kidogo imepotea, nakuhakikishia 45m ita-worth it ondoa shaka 😄😄😄
 
Kamanda Niko kwenye ndoa 22yrs now! Ushauri wangu, usimwonee huruma mwanamke wa dizaini hiyo ht siku moja, move on kwa afya yako! Hicho kimeoo baba
 
Kamanda Niko kwenye ndoa 22yrs now! Ushauri wangu, usimwonee huruma mwanamke wa dizaini hiyo ht siku moja, move on kwa afya yako! Hicho kimeoo baba
Nashukuru sana mkuu! Kwakweli nimepitia maswahibu na siwezi kuyarudia, wacha nimlee mwanangu kwa amani kabisa
 
Mkuu usimhurumie huyo binti hata kidogo,vinginevyo utateseka mpaka kufa kwako ni Mungu alikuwa anasema na wewe kwa njia nyepesi.usijali kuhusu pesa uliyopoteza.Usioe mwanamke kwa kuwa unamhurumia ndoa ni zaidi ya hapo.pia usioe mtu ambaye humfahamu kiundani mkuu.
 
Mdondoshee wala 50,000/- (humanity funds)
 
Noted mkuu, nazingatia huu ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…