Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Nimejoin jamii forum 2010. Inakuaje niwe na miaka 23.

Dogo endelea kubet tu. Ila acha uongo.
Kwamba kujoin JF 2010 ndo kipimo cha nini sasa mzee?! Unanishangaza, unjisifia uko hapa since 2010 na leo ni 2026 halafu unashtuka mtu akiandika 15m... sawa sawa, unasafari ndefu πŸ˜„
 
Kwamba kujoin JF 2010 ndo kipimo cha nini sasa mzee?! Unanishangaza, unjisifia uko hapa since 2010 na leo ni 2026 halafu unashtuka mtu akiandika 15m... sawa sawa, unasafari ndefu πŸ˜„
Nimeangalia hapo unasema nina 23 yrs...
Hiyo 2010 ulikua wapi?

By the way huna hiyo 15m ya kumpa mama mkwe. Punguza sufuri.
 
Kwamba kujoin JF 2010 ndo kipimo cha nini sasa mzee?! Unanishangaza, unjisifia uko hapa since 2010 na leo ni 2026 halafu unashtuka mtu akiandika 15m... sawa sawa, unasafari ndefu πŸ˜„
2023 ulikua unataka kukopa kiwanja cha 5m na hapo unasema story yako ni kuanzia 4 years....

 
astaghfirullah 😁
 
Sasa mkuu story yangu imeanzia mwaka gani?! Nishasema nilipatwa na maswahibu tokea nilipokutana na hiyo family, endelea kuchimbua vizuri utakutana na nyingine inayofuatana na hiyo ambayo niliandika kutafuta wateja nakodisha gari yangu binafsi kubeba maharusi maana mambo yananiendea sivyo! Hayo ni majanga mojawapo niliyopitia, sasa kwasababu hiyo ndo nishindwe kushika 15M ?!
 
Kinabo hebu tulia tufanye mengine na ishu sio kushika. Ishu ni kugawa.
We punguza hizo zero.
 
Kinabo hebu tulia tufanye mengine na ishu sio kushika. Ishu ni kugawa.
We punguza hizo zero.
Sasa ulivyotaja Kinabo nimeamini umeona na ule Uzi mwingine lakini umekaza shingo tu maana niliweka namba ya simu yenye hilo jina, ngoja nikuwekee kabisa hapa ili tuendelee kupata ya kucomment zaidi πŸ˜„

 
Huo nilikua sijaona kijana.

Anyway all the best kijana...
 
Wabena,wahehe na wanyakyusa ni jamii vocal sana tena matrilineal in the making!!ni karibu makabila yote ya kusini wanajua sana pesa,uongo uongo wa kutunga,ujanja ujanja ili TU wapate pesa na hujiona ni haki Yao kupewa na usipowapa unalo!!!!

Ulikosea tangu mwanzo,jibu jepesi TU ,SINA lingekusaidia!!

Niliwahi kutana na Hali kama yako,nikavaa uhusika Fulani,nilipoona too much,nikapiga u turn faster,nikawakumbusha uhusiano halisi tulionao,Mimi sio mbuzi wa kafara wa mitikasi Yao!!!kama waliwaiba watoto kwa mbwembwe bila kunishirikisha basi wawajibike na wasiniletee ya kwao mengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…