Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Wa kumshauri hapa ni dada yako sio wewe, ahakikishe haunasi tena kwenye huo mtego, maana jamaa yetu tayari ushaelekea kibla.🤗

Yoote yaliyotokea na kukutendea bado tu unaendekeza mawasiliano nao, c'mon.
Upo sahihi mkuu, ingawa mi sijawatafuta. Alianza mama yake kisha bintiye akanicheki na namba mpya, ila hakuna namna naweza rudia yale mambo, Unajua navyosoma hizi comments nazidi kupata hasira ya kukaa mbali
 
Sio nitafute mahali pengine, dada wa kazi wa tokea 2020 ninae hadi sasa! Kalikuwa kadogo sahivi kamekuwa kananiambia kwao hakuna mahari, niwa Tanga huko ndani ndani, ila kanamlea mtoto wangu tokea akiwa na 6months hadi sasa ana mwaka+ 😀😀
 
Tukuyu hiyo mwanetu, mabinti wanyaki Wana confidence flani hivi ambayo siyo rafiki kwenye mahusiano, sishauri MTU aowe hili kabila , Wana Tabia ya kupanda watu, kutawala Na kujiamini
 
Hiyo miaka miwili alikuwa anaishi kinyumba na mtu mwingine, yamemshinda, anatama kurejea.

Kuna namna wanavyokuona na kukuchukulia poa.

Hii familia itakuja ikuue. Kama sio leo, basi kesho.

Mwenye macho haambiwi tazama.
Hili nililifikiria! Siwezi nasa tena
 

Kwa mujibu wa habari hii.

Hiyo si familia ya kuoa hao ni magaidi wanataka kukushika uwalipe rehani.

Hata kuongea nao ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…