Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Huyu jamaa anaenda kumsamehe huyo malaya

Amini nakwambia hapa anataka tumsapoti tu
 
Ila una ndugu hata mmoja uliyewahi kumsaidia hata laki 3 au mama yako mzazi na baba yako washashika million 1 yako kweli da Kuna watu mnaonewa sana lakini hapo huyo Binti anakuja na dawa kukuroga utakuwa zebwe mara tatu yake kabisa shtuka
 
Hiyo si familia ya kuoa hao ni magaidi wanataka kukushika uwalipe rehani.

Hata kuongea nao ni hatari.
Kabisa, maana hata kwangu ilibidi nihame nimepapangisha sahivi, nimetoka wilaya ya Kinondoni nimehamia zangu Ubungo, maana kwa akili za yule mama mkwe wanaweza bebana wakaja nipate kesi ya mauwaji mwanangu alelewe bila baba na mama!
 
Ila una ndugu hata mmoja uliyewahi kumsaidia hata laki 3 au mama yako mzazi na baba yako washashika million 1 yako kweli da Kuna watu mnaonewa sana lakini hapo huyo Binti anakuja na dawa kukuroga utakuwa zebwe mara tatu yake kabisa shtuka
Stori ya huyu jamaa bado haini ingii akilini.

Inakuwaje apoteze mamilioni ya pesa upande wa mwanamke na Mama mkwe kiasi hiki?

Ni akili zake timamu hizi?
 
"habari mwanangu nimefurahi binti yangu kapata mchumba mzuri tena anaejiweza ila sasa mimi na shemeji yako tunaomba utusaidie Tsh 2,000,000 tukalipe deni tunalodaiwa nyumba isiuzwe lakini naomba mwezio asijue hili" nilichoka 😄😄.

Siwezi kuendelea kunyweshwa chai za bei chee mimi
 
Ila una ndugu hata mmoja uliyewahi kumsaidia hata laki 3 au mama yako mzazi na baba yako washashika million 1 yako kweli da Kuna watu mnaonewa sana lakini hapo huyo Binti anakuja na dawa kukuroga utakuwa zebwe mara tatu yake kabisa shtuka
Aise! Familia yangu ndio ya kwanza, actually biashara ninayofanya ni chain ambayo tumeunganisha biashara 3 za ndugu maana zinafanana kwahiyo tunajitangaza kama biashara moja! Na wazazi tumewaambia watulie sasa ila tunawahudumia vyema maana umri umeenda, siwezi iacha familia yangu boss
 
Siwezi kaka, na pale nilipokuwa naishi JANA nimetoka nimeweka mpangaji, yani siwezi rudiana na ile familia maana ni kama nilioa wote!
Tunajua unatuchora hapa tu

Kublock namba hiyo unashindwa nini? Block familia yote wakizidi sana nenda Polisi wasikufate fate

Mwisho utarogwa,
Ameomba umsamehe baada ya kukosa alternative huko akiipata atasepa tena

Unadhani muda wote huo alikuwa singo?
 
Haya mambo huwezi amini hadi upitie wewe, ndugu yako au rafiki 😀
 
Polisi ndio maamuzi yaliyobaki kwasasa, lakini kuwablock siwezi sababu wanatumia namba mpya! Kila nikiblock wananicheki kwa nyingine
 
Kama una bunduki sawa kaa nae, akileta zake unamlamba ya kichwa.
Mbona kufanya hivyo ni dakika 0 tu kaka, tatizo binti yangu atakaa bila baba na mama! Nimeamua chagua amani, nimetoka home jana sahivi nipo zangu mazingira tofauti kabisa! Uzuri kazi zinaenda kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…