Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

🤔🤔🤔🤔🤔 Mkuu hizi pesa zote ulizokuwa unatoa ulikuwa unatoa mwenyewe benki au ulikuwa unatuma kwenye simu tu. Kwasababu ukituma pesa kwenye simu haiumi unaona namba tu lakini ukiziona zile million 30 hizi hapa napeleka mwenylazima unifikirie mara 2. Anyway Kila la kheri mkuu.
 
Mkuu, binti nilimpenda na tungefika mbali pamoja! Kuna muda tunakuwa tayari kusaidia tuwapendao, ila nilifika mwishoi alipoanza kuwa na kiburi cha kijinga!
 
Kitendo cha kutoa 2M kwa siku ya kwanza inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mngese pia huko mbele ya story sidhani kama Kuna ukweli blahblah tuu upuuzi.
 
Kitendo cha kutoa 2M kwa siku ya kwanza inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mngese pia huko mbele ya story sidhani kama Kuna ukweli blahblah tuu upuuzi.
Sasa matusi ya nini kiongozi?! Ukifikia kuanza kupanga malengo utajua.
 


The Icebreaker njoo ufanye kazi yako tafadhali sana..!
 
Mkuu wewe ni mchimbaji mzuri 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…