Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Wewe ni mzembe.Hujaoa Mpaka wakti huu.Siwezi kukupa ushauri wewe mwanaume ambaye unapangiwa mambo na wanawake wajinga wawili.Nenda kachukua hilo lapulapu lako ulioe.Hizi tabia hizi ndio zinafanya wanaume wengi wanaishia kuua wake zao kwa Magobore.Mpenzi akikiuzingua unaumia mara moja unaoa mwingine maisha yanaendelea.
 
Dogo muongo huyu.

Anacheza na akili za watu tu hapa!

Kumbe bado anaishi kwa shemeji.
 
Ukimuoa tu... Mama yake,na kaka yake 45 yrs wanahamia kwako 😁

Tunasubiri uzi mwingine wa vituko vya mama mkwe na shemej yako wa miaka 45 ambae hajielewi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani USAID imeanzishwa Ulaya, na wewe ndio CEO wake? Kama sio chai, sawa
 
Unatuchukulia sisi shangazi zako sio?
 
Usitupanhe
 
Mimi sio mzembe, ila nilikuwa namsaidia mwanamke niliyemtolea barua tayari kuanza nae maisha! Ni vile tu msaada ulienda sehemu ambayo haikufaa, na kuhusu kuoa sio dili mzee, tayari nna katoto kangu kenye mwaka sasa, mengine hayana maana TENA
 
Have you heard that NICE GUY FINISH LAST? A DESTROYED WOMAN ALWAYS FIND A SIMP TO FULFILL HER RETIREMENT PLAN
I was A NICE GUY, sasahivi options nilizoona ni kuamua kuwa na roho ya mamba au niamue kutumia busara nilimnde binti yangu! Nimeamua kuhama nilipokuwa naishi mwanzo maana najua wataenda tu kunicheki, maana nikitumia hasira haitanidhuru mimi ila haka kabinti katabaki bila baba
 
Bro, ningepata nafasi ya kuongea neno moja kwako, basi ningekueleza tu (Fuata hisia zako) maana we ndio uliependa, na kipenda roho ula nyama mbichi....fanya maamuzi magumu ulete uzi mpya.
Imebidi nicheke kidogo, kwa hizi reply inabidi nikileta uzi mpya niweke na tangazo la biashara! Naweza pata na wateja kabisa hapa nipunguze hasara nilizopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…