Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Wazazi wangu wangekuwa wamepata hasara, pengine ninavyoandika hapa hata wasingekuwepo! ila Mungu amewapa kijana anayeweza kuwapambania na ndio maana sahivi hawafanyi kazi ila wanaishi, kuwa na adabu mkuu!
au ni chai ndugu maana umeniamiza sana nimehisi uchungu wa mama
 
Daaah ukute mama yako alie kuzaa hujawai kumpatia pesa hata 10 million. Ila unaangaika na familia baki kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mahi umeanza lini FVS?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Maisha ni magumu, jua kali sana; watu wanatafuta sehemu ya kupata uhakika wa mlo kwa kigezo cha mahusiano.

Kama hana faida na wewe kiuchumi, piga chini.
 
Aisee nime-imagine mama yako ndo angekuwa mama yangu huo moto ambao angeuwasha kwa huyo binti, mama yake na hao baba zake๐Ÿ˜…
 
Nilikuwa nakutana na nyuzi/maoni humu zikisema usioe binti anaeishi na mama pekee au binti ambaye kwao mama ndio mwenye sauti kwenye familia. Ila kwa sasa nina ushuhuda, nimekata hii kamba mwaka huu mwezi wa pili nikikumbuka nabaki kucheka tu. Japo nilikuwa sijamuoa lakini kanisaidia sana kujielewa.
 
Si uwongo, kile kipindi itakuwa walinifanyia mambo yao huko tukuyu
Aah..kama tukuyu baasi..ushalishwa sanaa dawa ww...nna ma uncle zangu wameoa huko na wanaishi huko..tayar wawili washatangulizwa mapema..amebakia mmoja hapo kyela ni anapelekewa moto balaa..sema naye kashamjua kuwa nmefuga nyoka ndani kwa hyo anaenda nae kiulalo ulalo
 
wanawake wanataka ufanye kila kitu kwa 100 percent lwa ajili yao.

umaweza kumwambia asubuhi nimepata pesa ya mtaji wa biashara , jionj akakuambia nipe hela nikasuke au nitoe out hili hali wewe una mtaji wa biashara, hauna pesa. ya matanuzi.

mwanamke anaweza kulwambia tushinde ndani nakupenda alafu mvhana anaomba pesa ya kula umeitoa wapi wakati alikataa usiende job
 
Hebu picha yake nikushauri๐Ÿค“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ