Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Very true kiongozi
 
Aise! Sio mchezo, inabidi sahivi wakinipigia na namba mpya nikiwasikia tu nikate bila hata kupiga chafya! Wasije daka sauti wakafanya miujiza 😄
 
Nyie ndo mwisho wa siku mnapiga wake zenu Magobore kisa upumbavu wenu🚮
Nisingekuwa na mama, baba, mdogo wangu mmoja na dada yangu wanonitegemea, nisingeona shida kupasua kichwa yake mapema tu! Tatizo ningetumia hasira ungekuta hao walio nyuma yangu wanaishi kwa shida mno... BTW, sio upumbavu mkuu ila ni mtu tuliyekuwa na malengo kweli hivyo haikuwa shida kumsaidia lakini baada alianza kubadilika na kuwa upande wa mama yake
 
Mkuu kama umeweza kukaa tangu 2024 mpaka jana na amani zako basi nakushauri achana na hiyo familia ya kichawi manyonya damu. Usipokee hata simu yao. Usiwakaribishe kwako na usipashe kiporo.

Endelea na mustand wako.

Baada ya ushauri huu ngoja nisome comment nione mambwiga yanayokushauri ufuate moyo wako kama unampenda niruke nayo...
 
Daaah ukute mama yako alie kuzaa hujawai kumpatia pesa hata 10 million. Ila unaangaika na familia baki kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
Sasa nimpe mama 10m ya nini mkuu?! Wazazi wa kichaga hata wakizeeka mtoto ndio utaendelea kupewa na sio kuwapa. BTW, wazazi wangu umri umeenda na wanaishi vizuri tu (namshukuru Mungu)
 
ushauri wa kibabe sana, nashukuru kiongozi. Siwezi rudi nyuma kabisa, actually nimehama nilipokuwa nakaa mwanzo maana nilihisi tu watakuja siku moja. Kuna mtu kanishauri jambo likizidi kuwa too serious basi niende polisi, sikuwaza kufanya hivyo lakini kwaajili ya binti yangu mwenye 1year nitafanya hivyo maana sitaki usumbufu kabisa
 
Aise! Haya mambo kuna watu nawaambia wayasikie tu waishie kutokuamini ila siku yakiwakuta wataelewa 😄... Darasa walilonisomesha ni zaidi ya madarasa yote niliyosoma kuanzia grade 1-Chuo
 
Aisee nime-imagine mama yako ndo angekuwa mama yangu huo moto ambao angeuwasha kwa huyo binti, mama yake na hao baba zake😅
Kati ya kitu sipendagi ni kuwapa wazazi wangu stress maana umri zimesonga kidogo, ndomana binti alivyoanza madudu basi sikuwaeleza kabisa zaidi ya dada angu mmoja ambae alianza kuelewana na mimi baada ya kuachana na hiyo familia 😄
 
Ila nimesoma mara 2 mbili nimegundua huu uzi ni uongo tupu hamna kitu. Huna uwezo wa kutoa milioni 15.....
 
Maisha ni magumu, jua kali sana; watu wanatafuta sehemu ya kupata uhakika wa mlo kwa kigezo cha mahusiano.

Kama hana faida na wewe kiuchumi, piga chini.
Kabisa mkuu, binti alikuwa vizuri sana ila alikuja kupiga u-turn moja noma sana akawa upande wa mama yake na kila kitu kikaharibika!

Siwezi irudia ile familia!
 
Ila nimesoma mara 2 mbili nimegundua huu uzi ni uongo tupu hamna kitu. Huna uwezo wa kutoa milioni 15.....
Sawa boss, kama 15m ndo imekushtua hivyo tena mwaka huu 2026... basi nakuombea umri wako angalau uwe chini ya 23 ili ukomae mambo yawe safi ukifika 30s
 
au ni chai ndugu maana umeniamiza sana nimehisi uchungu wa mama
Usipate uchungu madam! Vijana wenu hadi tuitwe BABA mjue huko nje tunavuka milima na mabonde 😄... BTW, nilitaka niweke voice hapa ila nimekatazwa aise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…