Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Bro, ningepata nafasi ya kuongea neno moja kwako, basi ningekueleza tu (Fuata hisia zako) maana we ndio uliependa, na kipenda roho ula nyama mbichi....fanya maamuzi magumu ulete uzi mpya.
Ni kweli.

Jamaa amempenda ni bora tu asikilize hisia zake amrudishe ndani waishi wote tu tena uzuri wa version ya sasa haina mahali.

Sisi wanaJF tutakuwa pamoja bega kwa bega na wewe mpaka KABURINI.
 
Wamekaa wakagundua huku duniani hakuna fala kama wewe, wanaona bora wakurudie maana wametafuta fala jingine hawakumpata.
 
Mimi sio mzembe, ila nilikuwa namsaidia mwanamke niliyemtolea barua tayari kuanza nae maisha! Ni vile tu msaada ulienda sehemu ambayo haikufaa, na kuhusu kuoa sio dili mzee, tayari nna katoto kangu kenye mwaka sasa, mengine hayana maana TENA
Wewe una Hangover ya Mapenzi
 
tatu akasema yupo tayari anizalie hata leo na hata nisitoe ile mahari tena! Ukweli ni kwamba sijaoa hadi sasa, lakini siwezi rudiana na huyu binti sababu ya huruma! I

Ukithubutu kumrudisha huyo mwanamke kwenye maisha yako. This time watakumaliza.

Hiyo familia ina tabia ya hovyo sana mwanetu. Hata usijaribu kuzaa nae wala kumuoa.
Maana ndio fimbo watakuchapia nayo.

Nasisitiza. Usithubutu.
 
Kaka kaka kaka!!! Achana na hio Familia kaka!!

Kata kabisa mawasiliano nao

Wanaweza hata kukuua Kwa pesa hao kaka viashiria vyote wanavyo kaa mbali nao kabisa

Futa mawasiliano nao
 
We ni mwanaume dhaifu, tibu kwanz udhaifu ulio nao ndo uje tukushauri, maana kwa sasa hata ukishauriwa ni sawa na bure.
 
Sasa mlokole gani anamuibia mume wake hela ya akiba??,
Bado unataka uishi naye tena,una ukichaa wewe.
Kwanza 99% ya ma secretary ni malaya mbwa.
 
Huruma sio malezi iwapo utamrudia hyo binti tegemeo ya binti Urasa siku si nyingi atashirikiana na hyo kaka yake watakukweka
 
Toka awali ungetambua unafanywa fursa ungekuwa umeshatoka nduki,wewe mwenyewe ndio umeyafuga hayo mashetani nimepatwa sana na hasira kana kwamba mimi ndio nimefanyiwa huo usenge,chonde chonde dogo niko chini ya miguu yako naomba usije wakaribisha tena hao watu maishani mwako,ukija wakaribisha ukaja na thead ya kutuambia uliwakaribisha nitakuwa mtu wa kwanza kukutusi humu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…