Baada ya misukosuko ya mwaka 2025 hatimae taratibu tuna anza kurejea na kuungana kupitia jukwaa letu pendwa JF

Baada ya misukosuko ya mwaka 2025 hatimae taratibu tuna anza kurejea na kuungana kupitia jukwaa letu pendwa JF

sos x

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
148
Reaction score
164
Habari zenu wanajukwaa,!?

Baada ya misukosuko ya mwaka 2025 hatimae taratibu tuna anza kurejea na kuungana kupitia jukwaa letu pendwa JF, ambapo wengi wetu hujifunza na kuburudika.

Nimefurahi pia kuona baadhi ya member wakongwe wapo active, japo britanicca na akina Membe Sk sijawaona yapata wiki sasa.


Pongezi kwa uongozi wa JF kwa weledi na maarifa wanayotumia kuendesha jukwaa hili.
 
1780937595331.png
 
Unaposema "Tunaanza kurejea" una maanisha ni kina nani hao ambao hawakuwepo na sasa ndio wanarejea?

Au una maanisha mnarejea wewe na nani?

Nauliza tu ili nijue coz uzi wako sijauelewa.
Swali zuri ndg, maana yake tumepitia kipindi kigumu kidogo kwenye jukwaa, ililazimu watu watumie vpn ili kuvonjari hapa, na hii ilipekea watu wengi kukaa kando. Lakin leo ci unaona ndugu mambo yako vizuri, Au nasema uongo ndugu zangu😀🤝
 
Back
Top Bottom