Kimtindoππ€Kwa hiyo tuseme Happy New Year
Yes Happy New Year Jamii ForumKwa hiyo tuseme Happy New Year
Swali zuri ndg, maana yake tumepitia kipindi kigumu kidogo kwenye jukwaa, ililazimu watu watumie vpn ili kuvonjari hapa, na hii ilipekea watu wengi kukaa kando. Lakin leo ci unaona ndugu mambo yako vizuri, Au nasema uongo ndugu zanguππ€Unaposema "Tunaanza kurejea" una maanisha ni kina nani hao ambao hawakuwepo na sasa ndio wanarejea?
Au una maanisha mnarejea wewe na nani?
Nauliza tu ili nijue coz uzi wako sijauelewa.
Kabisaπ€Yes Happy New Year Jamii Forum
π€JF idumu daima
π€ππππUMEINGIA kavu kavu bira kuvaa kinga ya VPN?