Tetesi: Baada ya mjanja kuanza kutapeli Viza Uhamiaji watoa Taarifa

Tetesi: Baada ya mjanja kuanza kutapeli Viza Uhamiaji watoa Taarifa

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,807
Reaction score
1,675
Idara ya Uhamiaji Tanzania ambayo hivi karibuni ilizindua huduma ya Maombi ya Viza kwa wageni kupitia mtandaoni, Leo imetoa taarifa kwa Umma ambayo inasisitiza watumiaji wa huduma hiyo kuomba Viza kupitia website yao ya www.immigration.go.tz pekee.

Hili linakuja baada ya kubainika kuna website moja inayotumia anwani ya www.evisatanzania.com kuwaliza watalii wengi ambao wamefika katika viwanja vya ndege ya KIA na JNIA kuonekana wana Viza feki ambazo zimetolewa na hio tovuti feki.

PRESS RELEASE ONLINE VISA PROCEDURE-MSEMAJI.jpeg
 
yani migration wame launch service tarehe 26.11.2018 evisatanzania.com imetengemezwa tarehe 27.11.2018

asee, kuna uwezekano wahusika wa evisatanzania walikua na taarifa za ndani ndani...huko
 
It should be noted that possession of a Visa is not a final guarantee to enter the United Republic of Tanzania. The immigration officer at the port of entry may refuse the entry of a visa holder if he is satisfied that his holder is unable to fulfill the United Kingdom's immigration entry requirements.


Huyu mtengenezaji wa www.evisatanzania.com ni kilaza kweli yaan
 
Back
Top Bottom