IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,675
Idara ya Uhamiaji Tanzania ambayo hivi karibuni ilizindua huduma ya Maombi ya Viza kwa wageni kupitia mtandaoni, Leo imetoa taarifa kwa Umma ambayo inasisitiza watumiaji wa huduma hiyo kuomba Viza kupitia website yao ya www.immigration.go.tz pekee.
Hili linakuja baada ya kubainika kuna website moja inayotumia anwani ya www.evisatanzania.com kuwaliza watalii wengi ambao wamefika katika viwanja vya ndege ya KIA na JNIA kuonekana wana Viza feki ambazo zimetolewa na hio tovuti feki.