Baada ya mkwanja wa TIGO kuota mbawa je ,ndoa ndo imeyeyuka?

Baada ya mkwanja wa TIGO kuota mbawa je ,ndoa ndo imeyeyuka?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
'Hey-Why' na mchumba ake wali chumbiana kwa mbwembwe kwa matumaini ya kuishi happily ever after baada ya kuvuta mkwanja mrefu toka TIGO.

Lakini hadi leo mwaka umepita tangu uchumba utangazwe na hamna kilichoendelea
Je, kukosekana kwa huo mpunga ndio sababu kubwa ilowakwamisha hawa wapendwa wetu kuoana?
 
Back
Top Bottom