Baada ya mnyika,lissu na leo :Werema kadhihirika kuwa hana kiwango...kashindwa isaidia CCM

Baada ya mnyika,lissu na leo :Werema kadhihirika kuwa hana kiwango...kashindwa isaidia CCM

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Werema kila mara huwa ni mtu wa mwisho kuifundisha au hata kuipa CCM Tafsiri sahihi ya mambo.Leo imedhihirika tena.Sijui km huyu huyu jamaa wa kazi ya kichwa ni kutunza nywele km ataweza tusaidia sana kuishauri serikali ktk mgogoro wa malawi.MZEE WARIOBA KAMALIZIA KABISA.WEREMA HAYUPO KTK ELITE CLUB YA WANASHERIA WASIOFANYA KICHWA BUSTANI YA NYWELE
 
Fafanua mkuu Nicholas ! Sijakuelewa bado.
 
Last edited by a moderator:
Fafanua mkuu Nicholas ! Sijakuelewa bado.
Werema mara zote kashindwa iongoza CCMkutafsiri sheria vyema....akina wassira walipita wakiongea ujinga , na yeye mwenyewe mara nyingi tuu kaleta shida bungeni kwa vitu ambavyo baadaye kashindwa ktk kutafsiri sheria.
 
Last edited by a moderator:
Werema kila mara huwa ni mtu wa mwisho kuifundisha au hata kuipa CCM Tafsiri sahihi ya mambo.Leo imedhihirika tena.Sijui km huyu huyu jamaa wa kazi ya kichwa ni kutunza nywele km ataweza tusaidia sana kuishauri serikali ktk mgogoro wa malawi.
Vp kijana mbona uahema juu juu kiasi hiki/
Hata hujaeleweka.

Wanasemaje Kalega, umesharudi mtaa wa ufipa?

Pole sana ndio ukubwa huo, sasa tuliza kichwa Bado Chalinze mshipa wa ngiri utakupasuka.
 
kipigo cha kalenga kimemvuruga huyu nikolas, anahangaika kama mwehu. thred 20 hazina kichwa wala miguu. hata haya haoni???????
 
Nimemuona leo akihangaika sana wakati Hon. Warioba anawasilisha kwa quotes na reference za ukweli. akawa anatamani apate mlango wa kutokea!!! Mwanasheria wa serikali, hana weledi wa kumshinda Hon. Warioba. Akubali yaishe na asitumike kuburuza watu baada ya mipasho ya ujumaa.
 
kipigo cha kalenga kimemvuruga huyu nikolas, anahangaika kama mwehu. thred 20 hazina kichwa wala miguu. hata haya haoni???????

utaifakwanza mbona Kalenga si pigo kwa CDM? Waliingia kampeni kama ilivyo desturi ya ushindani. CDM inafahamu fika kuwa Kalenga ni stronghold yenu halafu kwa ushindi wa kura 5,800 na ushee si haba kutoka 900 za 2010 kwa CDM.
 
kipigo cha kalenga kimemvuruga huyu nikolas, anahangaika kama mwehu. thred 20 hazina kichwa wala miguu. hata haya haoni???????
 
chadema imefia kalenga itazikwa chalinze, mleta mada amevurugwa na kifo hicho
 
kipigo cha kalenga kimemvuruga huyu nikolas, anahangaika kama mwehu. thred 20 hazina kichwa wala miguu. hata haya haoni???????

Mkuu mbona mada haihusiani na uchaguzi wa Kalenga? Hivi ni lini mtaacha CCM na CHADEMA kulumbana and focus kwenye hoja za ukombozi wa taifa hili???
 
Ninachosema na nitarudia..mfululizo wa matukio ya kutafsiri sheria bungeni na hata nje ya bunge werema amepigwa bao mara zote na watu ambao kwa nafasi na tabia yake amaekuwa akiwaona junior sana...lakini leo CCM inaaibika mbele ya macho yake bila kuweza wapa tfsiri sahihi..anabaki hovyo km chenge ktk mikataba alipita tupu..akabaki kubariki tuu kila kitu.Hiyo ndio CCM kitovu cha upumbavu
 
Nini kinakufanya kuamini kuwa watanzania tutaingia mikataba au hata kufanya jambo kwa mslahi ya taifa?
 
Mkuu mbona mada haihusiani na uchaguzi wa Kalenga? Hivi ni lini mtaacha CCM na CHADEMA kulumbana and focus kwenye hoja za ukombozi wa taifa hili???

Hilo ndilo tatzo kuu la ccm mkuu,hata mimi sijawahi kuwaelewa wanaleta uchama kwenye mambo ya msingi. Wewe huoni Werema alikula shavu hilo sababu ya ukada na siyo uwezo?
 
Hilo ndilo tatzo kuu la ccm mkuu,hata mimi sijawahi kuwaelewa wanaleta uchama kwenye mambo ya msingi. Wewe huoni Werema alikula shavu hilo sababu ya ukada na siyo uwezo?
Haha..ccm wanatia huruma kuliko tunavyofikiri..Yaani watanzania wangeijua CCM kihasilia wangekuwa wamkufa kwa jinsi wangeona wasivyo salama..ulishawahi ona mtu kaweza headphone masikioni halafu unampigia kelele kuwa anamwelekea nyoka..ambaye tayari anatupa mate halafu hakusikii...na alipfika nyoka akataka gonga wakati jamaa anainua atua hakulengwa.?unaweza pata tofauti za hao watu aliyekoswakoswa na aliyeona hilo tendo.CCM ktk nchi ndivyo
 
By Mbwiga88 View Post utakuwa mfanyakazi wa werema ktk busani ya kutesha nywele km hujamkodishia kichwa aoteshe nywele
 
mbona unatumia lugha isiyo ya kiugwana kisa kushabikia chama badilika mkuu ustarabu hauuzwi ningekuwa mods wengne hatupendi matusi
hawa jamaa ndio maana huwa nawajibu kwa ukali..matusi ndio michango yao
 
kipigo cha kalenga kimemvuruga huyu nikolas, anahangaika kama mwehu. thred 20 hazina kichwa wala miguu. hata haya haoni???????

Warioba ndio pigo lenu la mwisho. Kwa taarifa yako Wazanzibar wamemuelewa vizuri na sina hakika kama watakubaliana na ngonjera zingine kuhusu katiba yao kuguswa.
Moto wa kule Zenj hamna ubavu wa kuuzima wale jamaa sio misukule kama ya huku nyumbani bara.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom