Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
- Thread starter
- #21
Pigo la Leo kuanzia Kesho litakuwa maarufu sana kiasi cha wananchi kujiuliza nia ya CCM na jisni warioba alivyojibu hoja zote na kuwaach akm wajinga kabisa.Wananchi watajua cha kusimamia.Warioba ndio pigo lenu la mwisho. Kwa taarifa yako Wazanzibar wamemuelewa vizuri na sina hakika kama watakubaliana na ngonjera zingine kuhusu katiba yao kuguswa. Moto wa kule Zenj hamna ubavu wa kuuzima wale jamaa sio misukule kama ya huku nyumbani bara. Sent from my iPad using JamiiForums