Baada Ya Mo Dewj Kunyimwa Simba, Msimu Huu wa Simba Utakuwa mbaya kuliko yote

MO ameshatengeneza mgogoro kabla ligi haijaanza,ikiianza sisi tutaendeleza dozi baadae mtasema tunanunua mechi
 

Mkuu hiyo 51% kuwa Bill 20 hiyo hesabu kaipata wapi? Isije ikawa undervalued!
 
Huyu jamaa aache upuuzi 20 billion ni chache kununua simba, brand yenyewe ni zaidi ya billion 20 zao.
 
Kuna watu wanapiga sana hela pale wao wapo kwaajili ya matumbo yao! haiwezekani Azam na Yanga bajeti zao ni mara mbili ya Simba! Club apewe Mo
 
Mkuu hiyo 51% kuwa Bill 20 hiyo hesabu kaipata wapi? Isije ikawa undervalued!
hiyo ni offer yake sasa kama na wewe unajeuri weka mzingo mezani mfano bil 30...
 
Mkuu hiyo 51% kuwa Bill 20 hiyo hesabu kaipata wapi? Isije ikawa undervalued!
Inaweza isiwe na thamani hiyo. Lakini, wakati mwingine ni bora hivyo kuliko hali ya sasa.
 
Bil 20 ni hela ndogo? Huyo ni mwanaume mwenzako anazitoa wew kaje na mil 200 tu upewe hisa zote 100%
Umasikini kitu kibaya sana, hiyo hiyo sinpesa ya kununua assets tu za simba[emoji15] [emoji15] [emoji15] lile jengo pale katikati ya jijji kariakooo unajua lina thamani gani? Fikiria pia brand ya simba nimkubwa sana hiyo pesa ndilogo shida ni kwamba uendeshaji wakw ni wa kipuuzi kuna wapiga peaa tu basi!

Mkakati uwe hivi wauze hisa kwa wanachama then waajiri kampuni ya kuiendesha simba kibiashara ibaki kugawa faida ikitokea hivyo.
 
Point 1Afc
 
Nywere ww
 
Ili soka ikue lazima moja ya timu ipotee kwenye ligi kuu yanga ama simba au zote simba na yanga.
 
Mie namsangaa huyu MO kujitokeza kwa nguvu sasa hivi kuitaka Simba. Hakufanya hivo enzi ya JMK kwa miaka kumi ila JPM sasa ni miezi tisa tu, kaona nini?
 
Ndo tatizo la kuanza kushabikia mpira juzi... Hivi hujui simba ilibeba kombe la kagame mara mbili ndani ya mwaka mmoja na la mwisho ni kenya kwa kuifunga asante kotoko ya ghana na tusker ya kenya? Usijiaibishe ulivyo mtupu kwa hilo

SIMBA
1974 Simba ? - ? Abahluya Host Tanzania
1991 Simba 3 - 0 Villa Host Tanzania
1992 Simba 1 - 1 Young Africans Host Zanzibar (Penati 5-4)
1995 Simba 1 - 1 Express Host Tanzania (Penati 5-3)
1996 Simba 1 - 0 APR Host Tanzania
2002 Simba 2 - 0 Prince Louis Host Tanzania

YANGA
1975 Young Africans 2 - 0 Simba Host Zanzibar
1993 Young Africans 2 - 1 Villa Host Uganda
1999 Young Africans 1 - 1 Villa Host Uganda (Penati 4 -3)
2011 Young Africans 1 - 1 Simba Host Tanzania
2012 Young Africans 2 - 0 Azam Host Tanzania

Salaam aleikhum kwako...unaweza kunionesha ni mwaka upi huo unaouzungumzia wewe wa Simba Koko kubweka ugenini?

Kwa taarifa yako:
Mara ya mwisho Simba Koko kubeba kombe hilo ni miaka 14 iliyopita.
Mwaka 1967 Simba ikitumia jina la kigeni 'Sunderland' ilibamizwa mijigoli 5 - 0 na Abaluhya ya Kenya ambayo ndio mibao mingi mtu kukung'utwa kwenye fainali. Haiwekwi kwenye kumbukumbu kwa kuwa michuano haikuwa rasmi.

Sinayo kumbukumbu ya Asante Kotoko ya Ghana (West Africa) kucheza Kagame CUP (Klabu Bingwa ya Africa Mashariki na Kati)

Siku nyingine ukitaka kuongea na mimi, anza na shikamoo!
 
Umeropoka vizuri... Nadhani ukiamkiwa unahisi ndo utakuwa unaelewa sana, kwa ufahamu wangu ni kwamba kwenye store yetu vikombe vingi tu vipo hadi tusker ambalo tumebeba mara nne niambie wewe na hiyo yanga yako mlichukua mara ngapi... Hilo kagame unabwabwaja hapa na bado rekodi ya simba hamjaifikia, sijui mkiifikia mtaharishaje
 
Nilikuelekeza kuwa unapotaka kuongea na mimi, ANZA NA SHIKAMOO.

Hoja yako unaikwepa unaanzisha vurugu kama za mikutano yenu. Tuanzie hapo kwanza, zitaje hizo mara mbili Simba ilichukua Kagame nje ya mipaka ya Jamhuri. Halafu ulivyo mtupu kichwani, hata hujui kuwa Ghana iko Afrika Magharibi...una ubongo au uharo?

Jibu hoja yako, onesha huo Mwaka Simba Koko imeshinda fainali nje halafu tuendelee na hayo mengine ya mimi kubwabwaja yatafuata. Unaleta uongo uongo hapa, ebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…