Yasin21
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 667
- 402
Hebu uwe unashughulisha akili yako. Mwandishi hajasema amenyimwa ametoa angalizo nini kitatokea kama akinyimwa. Na ndo.maana ya baada ni kama kutabiri.
Kwa nini hampendi kwenda shule mkajifunze?yaani ninyi watu mnaamini ukijua kusoma na kuandika basi...?hujifunzi kufikiri na kutafsir? Au ndo muda mwing akili inashughulika na viloba?

Mo Dewj amenyimwa Simba kwa sababu ambazo siwezi kusema lolote. lakini pia sitaki kusema kama mwarobaini pekee ulikuwa yeye ingawa naamini kama angepewa simba tungepata nafasi ya kuangalia msimu huu anaijengaje na nini matokeo yake.mpira ni pesa. leo tarehe 31/07/1026 nawaambia wanachama wa Simba kama suala la Mo Dewj limepigwa tena danadana na mwishowe kubutuliwa mbali kabisa nje ya uwanja. msimu huu utakuwa ni mmoja ya misimu mibaya kabisa ya Simba. wachezaji wameshaanza kukata tamaa na hili husababisha wauze mechi au wacheze chin ya Kiwango.