Kwan alikuwa na kapreganant??Yupo busy analea kichanga ,kijukuu cha Mzee wa Wazuri hawafi
Anakimbia swaliNamaanisha kati ya simba na yanga
Yaaah mkuu...You can not teach a dog old tricks
Sijui mwamedi kamkosea nini binti wa watu 😂😁kila akiweka porojo, zinajibiwa faster.Muda mfupi baada ya Mwekezaji wa Simba SC, Mo Dewji kuchapisha ujumbe kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akidai kutoa karibu bilioni 3 kwenye usajili wa msimu huu aliyekuwa CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amechapisha ujumbe unaodhaniwa kuwa amemjibu bosi wake huyo kwa zamani.
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Barbara ameandika “A magic trick only works if the audience allows themselves to be fooled.” akiwa na maana ya “Janja janja za kichawi hufanya kazi pale tu hadhira inaporuhusu kudanganywa"
Na. @JeremiahSulle
#KitengeSports
NB: hawa ndugu wanashida Gani[emoji23][emoji23]View attachment 2713751
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
CAFHuyu binti yuko wapi siku hizi? Alikuwa analipendezesha soka la Tanzania.
Ndiyo,ana kichanga analea sasa hivi.Ana kama miezi mitatu tangu ajifungue
Yeye ahangaike na Baby Dad wake walee kichanga chao.Makasiriko kwa MO hayatamsaidiaKama amemjibu Mo basi huyu demu atakuwa anamtaka boss. Au kuna kitu amepoteza kwa Mo kinamuuma!
Ma Shaa Allah, sasa anaipendezesha Afrika.
Makolo watuelezeSijui mwamedi kamkosea nini binti wa watu [emoji23][emoji16]kila akiweka porojo, zinajibiwa faster.
[emoji23][emoji23]Kama amemjibu Mo basi huyu demu atakuwa anamtaka boss. Au kuna kitu amepoteza kwa Mo kinamuuma!
Tajiri wa mchongo [emoji1]Mo nj mswahili sana aisee
Watu Wana siriNdiyo,ana kichanga analea sasa hivi.Ana kama miezi mitatu tangu ajifungue
Za kueditAnamaamisha kama 20 B za kuwekeza club hazipo basi hata na hizo 3 B za usajili pia Ni Janja Janja.
Aliolewa kumbe? Au ni mtoto wa nje ya ndoa?Ndiyo,ana kichanga analea sasa hivi.Ana kama miezi mitatu tangu ajifungue
Koma kabisa, kututukana kirejareja Waislam.Mo nj mswahili sana aisee