Baada ya Mo Dewji kupost pesa ya usajili Tsh Bilioni 3, Barbara naye ajibu

Kwani walishamwagana?
 
Mwanakudinywa ni mwanakulegea na ni mwanamakelele tena ya mdinyo huwa haishi makelele ya mdinyo
 
Usikute yeye anasemeshana na mke mwenzake si tunaamini anaongelea soka na Simba binafsi sidhani
Mwanamke akiandika maneno hayo ujue anamzungumzia mwanamke mwenzake
 
Kwani walishamwagana?
Leo mbna kitambooo, akapokea prezoo muhandisi, mara boss was CAF, kuja kushtukaa yuko na kipara ngoto wa luku na wameleta kichanga ulimwengunii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amkosee nn? Umalaya wake ndo ulimponzaaa.
Atulie alee kichanga cha kipara ngotooo
Shangaa na wewe,azalishwe na kina Shemahonge,hasira amalizie kwa Tajiri MO,apeleke kichanga kwa Mzee wa Wazuri hawafi akapambane na mke mwenzie aliyemkuta.Na bado stress zitammaliza,alidhani kupora mume wa mtu ni rahisi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo mbna kitambooo, akapokea prezoo muhandisi, mara boss was CAF, kuja kushtukaa yuko na kipara ngoto wa luku na wameleta kichanga ulimwengunii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwa kiparangoto ameyakanyaga sana na bado ataropoka kila kitu kwa stress.Bi Mkubwa shikilia hapo hapo mpaka stress za kukupora mume na kulea kichanga zimtafune kabisa na hicho kimwili kimalizike[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…