Baada ya mtu kufa mwili wote huwa baridi na nyama kuwa ngumu

Baada ya mtu kufa mwili wote huwa baridi na nyama kuwa ngumu

Mazishi yangu

Member
Joined
Aug 23, 2026
Posts
28
Reaction score
75
Baada ya mtu kufa mwili wote huwa baridi na nyama kuwa ngumu.

Kama mwili haujahifadhiwa vizuri.mchakato huanza mara moja bila kukawia.

Nzi huzunguka mwili na kutaga mayai kwenye mwili na baadaya mayai hayo hugeuka funza.

Gesi na asid iliyo tumbon husababisha tumbo kufuraha na mwishowe tumbo hupasuka........... baada ya tumbo kupasuka hutoa harufu kali ambapo hutokana na mchakato huo........... na ndoh maana si salama mwili wa mwanadamu kuachwa uozee mazingira ya kibinadamu maana hatari kwa usalama........
 
baada ya mtu kufa mwili wote huwa baridi na nyama kuwa ngumu. kama mwili haujahifadhiwa vizuri.mchakato huanza mara moja bila kukawia. nzi huzunguka mwili na kutaga mayai kwenye mwili na baadaya mayai hayo hugeuka funza. gesi na asid iliyo tumbon husababisha tumbo kufuraha na mwishowe tumbo hupasuka........... baada ya tumbo kupasuka hutoa harufu kali ambapo hutokana na mchakato huo........... na ndoh maana si salama mwili wa mwanadamu kuachwa uozee mazingira ya kibinadamu maana hatari kwa usalama........
We mourners,kwa hiyo tufanyaje kwa ushauri wako?
 
Ila wakuu, ishu ya kuchoma maiti naikubali knoma, ikija bongo lazima nijiweke kwa order
 
Maiti inachukua miaka 5 hadi 10 kudecompose kabisa!
 
Back
Top Bottom