Baada ya mtz bwana Zuberi Musa kunyongwa pale China, sasa kesho zamu ya Mchina!

sisi tunashindwa nini kuwa na sheria kama hizi?
 
sisi tunashindwa nini kuwa na sheria kama hizi?

mmmh,, tukiweka sheria hizi hapa nchin kwetu,, watabaki viongozi wa chache sana, tena wa kuwahesabu na wa kuwatafuta kwa tochi....
 
hizi sheria za china zikija hapa walahi watu tutanyongwa karibia wooooote hasa wale wa kile chama chaaaaaaaa

wanakuwa jeuri kwa sababu sheria hiyo hakuna ikija tu hata ukiacha pochi kwenye daladala utaikuta kufa mchezo!
 
.
Mbona nchi yao ndio inayoongoza kwa bidhaa feki duniani. Hakuna kinachonisikitisha kama hizi dawa za kugeuza maumbile mfano makalio ya wanawake; wanazofyetua.
.

Sheria zenu ndo fake, sio bidhaa zao!-----»laumu serikali inayokubali fake goods!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…