Baada ya muda leo nimeanza kurusha matangazo ya adsense

Baada ya muda leo nimeanza kurusha matangazo ya adsense

Wakuu hii ni mara ya kwanza kukubaliwa na adsense ishu nataka wale wenye uzoefu waniambie malipo yanapokelewa vipi huku tz

Naomba mnijuze site hii hapa
Matangazo yamekaa hovyo, visitor hawezi Rudi Tena kwenye site yako

Screenshot_20241224-143930.jpg
 
Sawa ila wapo wanaorudi pili hilo tangazo la juu mtu anaweza kulihide
Nazungumzia SEO Wala sio vinginevyo, kama unajua wapo wanaorudi manake unaelewa wapo wasiorudi, jitahidi sana udeal na wasiorudi mana wanaorudi wengi hawatakuwa na manufaa, btw ni wangapi wanaojua kuhide na wangapi hawajuibkuhide, na kwann umtese visitor ?
Unatengeneza project afu unafeli mambo madogo, rubbish
 
Ahsante kwa mapendekezo
 
Hujaingiza hata dola moja, pin hujagerify unaanza kuwaza jinsi ya kulipwa? Hapo dola 100 unaweza zitafuta miezi 6!
 
Back
Top Bottom