Baada ya muda leo nimeanza kurusha matangazo ya adsense

Sawa ila wapo wanaorudi pili hilo tangazo la juu mtu anaweza kulihide
Nazungumzia SEO Wala sio vinginevyo, kama unajua wapo wanaorudi manake unaelewa wapo wasiorudi, jitahidi sana udeal na wasiorudi mana wanaorudi wengi hawatakuwa na manufaa, btw ni wangapi wanaojua kuhide na wangapi hawajuibkuhide, na kwann umtese visitor ?
Unatengeneza project afu unafeli mambo madogo, rubbish
 
Ahsante kwa mapendekezo
 
Hujaingiza hata dola moja, pin hujagerify unaanza kuwaza jinsi ya kulipwa? Hapo dola 100 unaweza zitafuta miezi 6!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…