Ni kweli mkuu hakuna heshima,mi kuna mmoja unakuta kaweka stuts eti #we baba ako unamuheshimu lkn kuna mtt wa afu mbili anamuambia "wakati mwingine uwe unatumia akili basi
Wewe ni nice man, weak man na hujielewi! Unashindana na mtu ambaye miaka kumi ijayo yeye ni limama wakati huo wewe ndo dam inaanza kuchangamka. Kama utakuwa umepambana na kujipata lakini.