Baada ya muda mrefu kidogo kumpoteza hatimaye nimepata mawasiliano yake

Baada ya muda mrefu kidogo kumpoteza hatimaye nimepata mawasiliano yake

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,851
Habari wakuu,
Baada ya kumpoteza kimawasiliano aliyekuwa mpenzi wangu hatimaye nimepata mawasiliano yake.
Nipo hapa nam'bembeleza arudi tena kama Zaman lakini naona maneno yote matamu nimekwisha tanka, wadau Chonde Chonde Naombeni msaada nini cha kuongeza kumlegeza huyu mrembo wangu.
Story nzima ipo kwenye screenshots.
Wake kwa waume,wasichana kwa wavulana mnakaribishwa michango yenu tafadhali kejeli isiwepo maana this is a serious issue. (KWA NIABA YA RAFIKI YANGU) mimi mnyetishaji tu.

#utakula kiburi yako.
 
acha kudalalia mapenzi mkuu
 
Back
Top Bottom