Muulize huyo
Alivyoondoka Manji hali ilikuaje???MANJI akiondoka Yanga haifiki popote GSM kaweka mpunga Yanga ile pale una la kusema lingine ?
✍️
BAKULIAlivyoondoka Manji hali ilikuaje???
Na DAB au ?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema kampuni ya HK Group sasa iko tayari kuwekeza katika Vilabu vikubwa nchini Simba SC na Dar Young Africans
Ikumbukwe Mwekezaji Mo Dewji amesema ameanza kukata tamaa na Uwekezaji wake pale Simba
Dr Kigwangalla ametoa ofa hiyo kupitia ukurasa wake wa twitter!
HApo sawa tuko pamoja Msikurupuke kumuondoa Mo pale..muondoeni strategically.BAKULI
✍️
Miaka mingapi ndo alikuja GSM? Wakati Yanga inatembeza bakuli na wachezaji wanavamia mashamba ya matikiti na miwa morogoro wewe ulikuwa na umri gani?MANJI akiondoka Yanga haifiki popote GSM kaweka mpunga Yanga ile pale una la kusema lingine ?
✍️
Tangu MANJI yupo anabambikiwa unga na gwanda za Jeshi NIPO kwa hio pima hapo karibu Quality Centre ujichukulie mazagaMiaka mingapi ndo alikuja GSM? Wakati Yanga inatembeza bakuli na wachezaji wanavamia mashamba ya matikiti na miwa morogoro wewe ulikuwa na umri gani?
hela zetu za vitalu vya uwindaji hizo.Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema kampuni ya HK Group sasa iko tayari kuwekeza katika Vilabu vikubwa nchini Simba SC na Dar Young Africans
Ikumbukwe Mwekezaji Mo Dewji amesema ameanza kukata tamaa na Uwekezaji wake pale Simba
Dr Kigwangalla ametoa ofa hiyo kupitia ukurasa wake wa twitter!
Pima ni nini?Tangu MANJI yupo anabambikiwa unga na gwanda za Jeshi NIPO kwa hio pima hapo karibu Quality Centre ujichukulie mazaga
Hii ni juzi juzi tu hapa.Tangu MANJI yupo anabambikiwa unga na gwanda za Jeshi NIPO kwa hio pima hapo karibu Quality Centre ujichukulie mazaga
Yaani huyu mtu ni muhuni kwelikweli!Kigwangala sijui huwa anajikuta Nani nchi hii. Yaani viongozi wa Tanzania huwa hawana aibu kuonyesha kiwango cha ufisadi walichodhulumu Watanzania. Huyu anaringia utajiri wa mifugo ya Wafugaji iliyokuwa inaingizwa kwenye hifadhi na kupigwa mnada bila kesi kufikishwa mahakamani halafu Leo anajifanya anaweza kuendesha timu kama Simba? Yaani eti Kigwangala naye anajiita Hustler!!
Ndio anauliza eti nilikua wapi swali gani hilo la kumuuliza Mzee ?Hii ni juzi juzi tu hapa.
Hatuna ushahidiNa DAB au ?
[emoji3578]
Iliyumba lakini baadaye akaja mwamba ,chapa GSM na Engineer wakabutuaAlivyoondoka Manji hali ilikuaje???
Jii es emKuna mfanyabiashara gani mkubwa Tanzania kumzidi MO?