Baada ya Mwekezaji kukata tamaa Dkt. Kigwangalla asema yuko tayari kununua Hisa awe Mwekezaji mpya!

Baada ya Mwekezaji kukata tamaa Dkt. Kigwangalla asema yuko tayari kununua Hisa awe Mwekezaji mpya!

Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema kampuni ya HK Group sasa iko tayari kuwekeza katika Vilabu vikubwa nchini Simba SC na Dar Young Africans

Ikumbukwe Mwekezaji Mo Dewji amesema ameanza kukata tamaa na Uwekezaji wake pale Simba

Dr Kigwangalla ametoa ofa hiyo kupitia ukurasa wake wa twitter!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
MANJI akiondoka Yanga haifiki popote GSM kaweka mpunga Yanga ile pale una la kusema lingine ?
✍️
Miaka mingapi ndo alikuja GSM? Wakati Yanga inatembeza bakuli na wachezaji wanavamia mashamba ya matikiti na miwa morogoro wewe ulikuwa na umri gani?
 
Miaka mingapi ndo alikuja GSM? Wakati Yanga inatembeza bakuli na wachezaji wanavamia mashamba ya matikiti na miwa morogoro wewe ulikuwa na umri gani?
Tangu MANJI yupo anabambikiwa unga na gwanda za Jeshi NIPO kwa hio pima hapo karibu Quality Centre ujichukulie mazaga
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema kampuni ya HK Group sasa iko tayari kuwekeza katika Vilabu vikubwa nchini Simba SC na Dar Young Africans

Ikumbukwe Mwekezaji Mo Dewji amesema ameanza kukata tamaa na Uwekezaji wake pale Simba

Dr Kigwangalla ametoa ofa hiyo kupitia ukurasa wake wa twitter!
hela zetu za vitalu vya uwindaji hizo.
 
Kwa pesa jpi uliyo nayo we mwehu!
Acha ubabaishaji wako wa miaka nenda rudi!
Tena wewe ndie hufai kabisaa kuwa hata kwenye Board!
 
Kigwangala sijui huwa anajikuta Nani nchi hii. Yaani viongozi wa Tanzania huwa hawana aibu kuonyesha kiwango cha ufisadi walichodhulumu Watanzania. Huyu anaringia utajiri wa mifugo ya Wafugaji iliyokuwa inaingizwa kwenye hifadhi na kupigwa mnada bila kesi kufikishwa mahakamani halafu Leo anajifanya anaweza kuendesha timu kama Simba? Yaani eti Kigwangala naye anajiita Hustler!!
Yaani huyu mtu ni muhuni kwelikweli!
Anafikiri hatumjui!
 
Back
Top Bottom