Umkonto umsizwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 454
- 949
Tena wasio na ajiraHii ni Aibu kwa serikali kupambana hadi na waalimu .serikali dhaifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wasio na ajiraHii ni Aibu kwa serikali kupambana hadi na waalimu .serikali dhaifu
Wanao ubavu kuikataa pesa ya abdul? Wasijetupoteza kama kina wenje.NETO -Chartism , Ludissim so wawe makini Sana hawa vijana wapo smart Sana na wanafatiliwa Kwa ukaribu na kuungwa mkono na kundi kubwa la vijana
Serikali za kidikteta zinategema vyombo vya dola kukaa madarakani, ccm wanategemea mno vyombo vya ulinzi na usalama. Hii movement ya vijana wasio na ajira itaitoa ccm madarakani. Na ndio maana wanapanick. Watoto wa maaskari, wanajeshi, polisi, usalama na ndugu zao hawana ajira. Hilo kundi likiamua kuitoa ccm ni suala la sekunde chache.Hakuna wa kuiweza serikali wewe... Hao wote wanacheza tu. Serikali ina mikono nj miguu mirefu mno
Hapana ni lazima waliangalie vizuri, mimi simaanishi kuna watu nyuma ya hii ishu, Hapana, ila wasi wasi wangu hii ishu inaweza kulipuka na kuwa ya watu wote.Hakuna wa kuiweza serikali wewe... Hao wote wanacheza tu. Serikali ina mikono nj miguu mirefu mno
Hizo huwa ni dhana za kutisha tu watu tu, ingelikuwa hivyo serikali zisingekuwa zinapinduliwa achilia mbali jeshi, wananchi wenyewe wakiamua serikali inasalimu amri, usifanye mchezo na wananchi wakichoka si jeshi wala risasi zitakazowarudisha nyumaHakuna wa kuiweza serikali wewe... Hao wote wanacheza tu. Serikali ina mikono nj miguu mirefu mno
Comment ya kipuuz sana hiiWalilitafuta wamelipata, kwa serikali za Africa ni waoga sana kwa vuguvugu yoyote.
Kivip wewe hujui serikali za kiafrica jinsi zinavo tesa raia wao kwa uoga wamandamano.Comment ya kipuuz sana hii
Kumbuka hata omary Ali Bashir wa sudani alitolewa madarakani kisa mkate umepanda Bei tusichukulie masihara mambo huanza mdogo mdogo wakae chini waone wanatatua vipi hizi changamoto wasomi ni wengi sasa tofauti na enzi za kina ulimboka daktariHakuna wa kuiweza serikali wewe... Hao wote wanacheza tu. Serikali ina mikono nj miguu mirefu mno
Na Kuna group wasap kule limeanzishwa la watu wote wasio na ajira hapo ndio naona muelekeo mbaya sanaHapana ni lazima waliangalie vizuri, mimi simaanishi kuna watu nyuma ya hii ishu, Hapana, ila wasi wasi wangu hii ishu inaweza kulipuka na kuwa ya watu wote.
serikali inafanya makusudi tu, walimu wanahitajika sana maana shule zinajengwa kila leo, huko vijini kuna shule hazina walimu, halafu unasikia kuna goli la mama pesa zinaenda kizembeBado wapuuzi hao wanaendelea kukamatwa? Bado mweka hazina wao, hawa vijana huwa wanajiona wajuaji sana wanapokuwa vyuoni wanadhani mazingira ya kusoma chuoni na sawa na kuwa kazini. Wanashinikiza waajiriwe kana kwamba serikali ina nafasi nyingi za kuwaajiri za kuwaajiri kwa pamoja. Wengine hawataajiriwa mpaka watazeekea mitaani, ni bora wajiongeze kufanya shughuli zingine waache uvivu wa kuthubutu kuanzisha shughuli zao. Wana mentality mbovu kudhani ukisomea fani fulani ni lazima uajiriwe kwayo
kama nafasi ziko wazi huko vijiji basi serikali ishinikizwe kutoa ajira huko. Sio mwalimu mmoja kubeba vipindi vingi wakati kuna uwezokano wa kuajiriwa walimu wengine. Mwalimu kujitia kiherehere kubeba vipindi vingi kisa tu kuna upungufu wa walimu shuleni ni ujuha, labda pawe na posho ya kubeba vipindi zaidiserikali inafanya makusudi tu, walimu wanahitajika sana maana shule zinajengwa kila leo, huko vijini kuna shule hazina walimu, halafu unasikia kuna goli la mama pesa zinaenda kizembe
Ndio maana ya hizo kelele, kuna haja gani fedha zinapelekwa kusiko na tija, goal la Mama lina maana gani sasakama nafasi ziko wazi huko vijiji basi serikali ishinikizwe kutoa ajira huko. Sio mwalimu mmoja kubeba vipindi vingi wakati kuna uwezokano wa kuajiriwa walimu wengine. Mwalimu kujitia kiherehere kubeba vipindi vingi kisa tu kuna upungufu wa walimu shuleni ni ujuha, labda pawe na posho ya kubeba vipindi zaidi
shaka wewe ni Mnufaika wa mfumo mbovu wa Ma CCM. Nina hakika wewe ungekuwa wa kizazi hiki ungekuwa omba omba mpaka Sasa, ila Kwa kuwa wewe ni mstaafu allsiyestaafu basi wajukuu wako watakutana na moto huko mbeleni. Mark my words ndg ChawaBado wapuuzi hao wanaendelea kukamatwa? Bado mweka hazina wao, hawa vijana huwa wanajiona wajuaji sana wanapokuwa vyuoni wanadhani mazingira ya kusoma chuoni na sawa na kuwa kazini. Wanashinikiza waajiriwe kana kwamba serikali ina nafasi nyingi za kuwaajiri za kuwaajiri kwa pamoja. Wengine hawataajiriwa mpaka watazeekea mitaani, ni bora wajiongeze kufanya shughuli zingine waache uvivu wa kuthubutu kuanzisha shughuli zao. Wana mentality mbovu kudhani ukisomea fani fulani ni lazima uajiriwe kwayo
Kwa hiyo hata Mungu mwenyewe haiwezi serikali🤔 BE HUMBLE 👇Hakuna wa kuiweza serikali wewe... Hao wote wanacheza tu. Serikali ina mikono nj miguu mirefu mno