Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Kutawadhwa - kunawishwa (miguu, au baada ya haja)abubakar soud aka prince amigo ndiye mfalme mpya wa taarab
Anasubiriwa kutawadhwa rasmi
Hongera zake
Hivi kwanini watu wa dini fulani huwa ndo waimba taarabu..Abubakar Soud aka Prince Amigo ndiye mfalme mpya wa taarab
Anasubiriwa kutawadhwa rasmi.
Hongera zake
lasmi = rasmiKutawadhwa - kunawishwa (miguu, au baada ya haja)
Kutawazwa - kumilikishwa lasmi e.g. Fulani amepewa utawala, ametawalishwa ametawazwa
haaaKutawadhwa - kunawishwa (miguu, au baada ya haja)
Kutawazwa - kumilikishwa lasmi e.g. Fulani amepewa utawala, ametawalishwa ametawazwa
mhhhhhh toba weeeMzee Yusuph hatari sana,alipiga collabo na chidi benzi kuanzia hapo jamaa akavaa hereni puani,kilichofuata ni rehabu nk!!