Baada ya Mzee Yusuph kuacha kuimba Amigo ndio mfalme mpya wa taarab

Baada ya Mzee Yusuph kuacha kuimba Amigo ndio mfalme mpya wa taarab

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Abubakar Soud aka Prince Amigo ndiye mfalme mpya wa taarab
Anasubiriwa kutawadhwa rasmi.

Hongera zake
 
Umemtangaza wewe,,una muapisha wewe,,,, am sor una muongelea nani vile?
 
abubakar soud aka prince amigo ndiye mfalme mpya wa taarab
Anasubiriwa kutawadhwa rasmi
Hongera zake
Kutawadhwa - kunawishwa (miguu, au baada ya haja)
Kutawazwa - kumilikishwa lasmi e.g. Fulani amepewa utawala, ametawalishwa ametawazwa
 
Mmmm ila sauti yake kidooogo naipendaga
 
Back
Top Bottom