Taarabu ni muziki wa wanawake na wanaume wa MAGOMENI
Free Basic wa facebook utawajua tu, jamaa wala video hajaifungua, kaona jina la mzee yusuph basiSio taarabu hiyo ndugu, ni kaswida
HahahahaFree Basic wa facebook utawajua tu, jamaa wala video hajaifungua, kaona jina la mzee yusuph basi
Kinachofanya muziki fulani uwe na jina fulani ni mdundo, beat na melody na sii maneno yatamkwayo mfano reggae ni beat wala sii maneno. Taafabu ni maneno ya vijembe ya kike wakati Kaswida ni mahubiri lakini beat na melody ni moja. Hivyo mtu hakosei kuziita jina moja.Sio taarabu hiyo ndugu, ni kaswida
Hahahah tigo wamesaidia wengi.Free Basic wa facebook utawajua tu, jamaa wala video hajaifungua, kaona jina la mzee yusuph basi