Baada ya Mzee Yusuph, mwingine aibuka na hii

Baada ya Mzee Yusuph, mwingine aibuka na hii

Taarabu ni muziki wa wanawake na wanaume wa MAGOMENI
 
Sio taarabu hiyo ndugu, ni kaswida
Kinachofanya muziki fulani uwe na jina fulani ni mdundo, beat na melody na sii maneno yatamkwayo mfano reggae ni beat wala sii maneno. Taafabu ni maneno ya vijembe ya kike wakati Kaswida ni mahubiri lakini beat na melody ni moja. Hivyo mtu hakosei kuziita jina moja.
 
Back
Top Bottom