Baada ya mzozo wa jana kati ya Trump na Zelensky: Nchi z Ulaya zimeaanza kujielewa

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056

Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with recent U.S. policy towards Ukraine.​

Nashangaa wanaomuona Zelensky kama haini!
 
Trump kawapa hao jamaa wa Ulaya siku 21 wakue kiakili na kufanya maamuzi yenye tija kwa dunia, la sivyo nao pia watachezea kibano.

Nchi pekee zinazoweza kuiwekea Marekani kigingi ni Russia, China, North Korea, Irani, labda na South Africa. Wengine wooote ni punda!
 
Sasa iweze South Africa halafu Norway ishindwe!
 
Kwa sasa EU inabidi iamke kama enzi za 1930's yaani waache kumtegemea kigeugeu US kisha tuone jeuri atatoa wapi.Swali ni Je hao Ulaya wanaweza?
 
Na wewe pia umesoma? Kweli, shule za amali zinahitajika Kwa haraka mno.
 
Kwa sasa EU inabidi iamke kama enzi za 1930's yaani waache kumtegemea kigeugeu US kisha tuone jeuri atatoa wapi.Swali ni Je hao Ulaya wanaweza?
Kwamba waache kumtegemea kigeugeu US waone jeuri atatoa wapi hee?

Waambie kwanza hao EU wajitahidi waongeze military spending angalau ifike hata 50% ya kile anachotoa US ndio wafikirie kuacha kumtegemea kigeugeu US
20250302_103232.jpg
 
Trump kawapa hao jamaa wa Ulaya siku 21 wakue kiakili na kufanya maamuzi yenye tija kwa dunia, la sivyo nao pia watachezea kibano.

Nchi pekee zinazoweza kuiwekea Marekani kigingi ni Russia, China, North Korea, Irani, labda na South Africa. Wengine wooote ni punda!
SA 🙌🙌! US ameiwekea vikwazo tayari imeomba poo! Ramafosa amekubali yaishe.
 
Sasa iweze South Africa halafu Norway ishindwe!
nchi za ulaya hazina zimemgabithi mifumo yate ya uchumi kwa usa .. sauth africa anayo mbadala wa kufanya biashara na nchi nyingne na amejiandaa kwa hilo .. mfano norway ikitolewa tu kwenye swift kila kitu si kinakataa
 
Theoretically sawa.

Practically hata wakaitolewa zipo alternatives nyingi tu.
 
Nafikiri ni sawa na mtu kusema hautaweza kumuuzia Dewji tikiti maji ukifikiri unaweza kumkomoa.
 
Back
Top Bottom