Nashangaa wanaomuona Zelensky kama haini!Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with recent U.S. policy towards Ukraine.
Norwegian fuel supplier refuses U.S. warships over Ukraine
Haltbakk Bunkers will cease supplying fuel to U.S. forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with recent U.S. policy towards Ukraine.ukdefencejournal.org.uk
Sasa iweze South Africa halafu Norway ishindwe!Trump kawapa hao jamaa wa Ulaya siku 21 wakue kiakili na kufanya maamuzi yenye tija kwa dunia, la sivyo nao pia watachezea kibano.
Nchi pekee zinazoweza kuiwekea Marekani kigingi ni Russia, China, North Korea, Irani, labda na South Africa. Wengine wooote ni punda!
Na wewe pia umesoma? Kweli, shule za amali zinahitajika Kwa haraka mno.Trump kawapa hao jamaa wa Ulaya siku 21 wakue kiakili na kufanya maamuzi yenye tija kwa dunia, la sivyo nao pia watachezea kibano.
Nchi pekee zinazoweza kuiwekea Marekani kigingi ni Russia, China, North Korea, Irani, labda na South Africa. Wengine wooote ni punda!
Kwamba waache kumtegemea kigeugeu US waone jeuri atatoa wapi hee?Kwa sasa EU inabidi iamke kama enzi za 1930's yaani waache kumtegemea kigeugeu US kisha tuone jeuri atatoa wapi.Swali ni Je hao Ulaya wanaweza?
Itawachukua miaka kuweza!Kwa sasa EU inabidi iamke kama enzi za 1930's yaani waache kumtegemea kigeugeu US kisha tuone jeuri atatoa wapi.Swali ni Je hao Ulaya wanaweza?
SA 🙌🙌! US ameiwekea vikwazo tayari imeomba poo! Ramafosa amekubali yaishe.Trump kawapa hao jamaa wa Ulaya siku 21 wakue kiakili na kufanya maamuzi yenye tija kwa dunia, la sivyo nao pia watachezea kibano.
Nchi pekee zinazoweza kuiwekea Marekani kigingi ni Russia, China, North Korea, Irani, labda na South Africa. Wengine wooote ni punda!
nchi za ulaya hazina zimemgabithi mifumo yate ya uchumi kwa usa .. sauth africa anayo mbadala wa kufanya biashara na nchi nyingne na amejiandaa kwa hilo .. mfano norway ikitolewa tu kwenye swift kila kitu si kinakataaSasa iweze South Africa halafu Norway ishindwe!
Theoretically sawa.nchi za ulaya hazina zimemgabithi mifumo yate ya uchumi kwa usa .. sauth africa anayo mbadala wa kufanya biashara na nchi nyingne na amejiandaa kwa hilo .. mfano norway ikitolewa tu kwenye swift kila kitu si kinakataa