Elections 2010 Baada ya Nakaaya, CCM wanamtega Lema wa Chadema Arusha?

Elections 2010 Baada ya Nakaaya, CCM wanamtega Lema wa Chadema Arusha?

Ah hii ndiyo Tanzania inayoongozwa na viongozi waliopitia ndani ya USALAMA WA TAIFA
wenyewe wamejiapisha kuwa mtu ambaye hajawai kupitia idara ile hawezi kushika ukuu wa kaya. Ni nyerere pekee ambaye alikuwa rais raia
 
Hivi huyu Godless Lema ni mgombea kutoka chama cha Chadema?
 
  1. godbless lema ni mjomba wake halisi na jubilete kilewo, hivyo haiwezekani kabisa kwa huyu mzee kumpigania Mgombea wa ccm ambae hakumpenda tokea mwanzo, kwani amefanikiwa kumwangusha mrema aliekuwa best yake kwa ajili ya kilinda maslahi yao.
  2. Bila kutumia akili za ziada tu inathibitisha maneno ya watu yanayosemwa kwamba wameapa kumuangusha dr,Burian, hiyo ndio picha halisi na inathibitishwa na hilo tukio. Isitoshe tumesikia wanapita nyumba hadi nyumba kueneza matakwa yao hayo, ccm imefumba macho, hapa angetakiwa kuwajibishwa huyu jubilete haraka kabla ya uchaguzi mkuu aingie chadema mchana kweupe kama kweliand guts.
 
Lema aligombea ubunge TLP mwaka 2005 akashinda lakini CCM wakamuonga kitu kidogo akaondoa kesi mahakamani.
Ndugu jana alikanusha tuhuma hii na zingine....na taarifa za chini chini nilizo zipata ni kwamba jamaa alikosa sapoti kuto chama chake ilitakiwa mil tano kwenye hiyo kesi na yeye alikuwa na 350,000..unategemea angefanya je
 
JK alisema kwamba mwaka 2005 walishinda uchaguzi kwa kutumia "mbinu za kisayansi", hii inawezekana ni mojawapo, wakati wa uchaguzi ni vizuri wagombea kujiepusha kufanya vitu ambavyo ni questionable.
 
katika hali isiyotarajiwa na inayotia shaka mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema ndugu godbless lema amekutwa bar akiwa amekaa na viongozi wa andamizi wa chama cha mapinduzi katika bar ya family pub mjini arusha kuanzia saa tatu usiku na kuendelea huku wakiwa wenye furaha.ikiwa haiujulikani ni kwa vipi jambo hili limetokea wakati mgombea wa ccm jakaya kikwete akiwa mjini arusha kwa ziara rasmi ya kampeni.
  1. maswali ya kujiuliza ni kwa vipi mwenyekiti wa ccm ndugu jublate kileo awepo bar na mgombea wa chadema wakati ambao mwenyekiti wa taifa wa chama hicho akiwa bado mjini hapa?ina maana hawana mazungumzo ya mikakati ya kulitwaa jimbo au ndo mkakati ni kumchakachua godless lema
  2. je kwanini wawepo mda huo mahali hapo au ndo kuthibitisha kuwa jublate hamuungi mkono dr batilda buriani kwani alikuwa kundi la felix mrema?
  3. ndo kusema sasa ccm wanataka kumchakachua godless lema arudishe kadi na kujitoa kugombea ubunge hapa arusha mjini?ni muda tu utakaosema.nategemea sana wahusika wote watatoa ufafanuzi wa kina au kama walikuwa wana mazungumzo ya kawaida nani ajuaye

kama wana codeshare na wakezao waache kujadili jinsi ya kuwahudumia jamani kisa chama loh siasa we??
 
Back
Top Bottom