Elections 2010 Baada ya Nakaaya, CCM wanamtega Lema wa Chadema Arusha?

Ah hii ndiyo Tanzania inayoongozwa na viongozi waliopitia ndani ya USALAMA WA TAIFA
wenyewe wamejiapisha kuwa mtu ambaye hajawai kupitia idara ile hawezi kushika ukuu wa kaya. Ni nyerere pekee ambaye alikuwa rais raia
 
Hivi huyu Godless Lema ni mgombea kutoka chama cha Chadema?
 
  1. godbless lema ni mjomba wake halisi na jubilete kilewo, hivyo haiwezekani kabisa kwa huyu mzee kumpigania Mgombea wa ccm ambae hakumpenda tokea mwanzo, kwani amefanikiwa kumwangusha mrema aliekuwa best yake kwa ajili ya kilinda maslahi yao.
  2. Bila kutumia akili za ziada tu inathibitisha maneno ya watu yanayosemwa kwamba wameapa kumuangusha dr,Burian, hiyo ndio picha halisi na inathibitishwa na hilo tukio. Isitoshe tumesikia wanapita nyumba hadi nyumba kueneza matakwa yao hayo, ccm imefumba macho, hapa angetakiwa kuwajibishwa huyu jubilete haraka kabla ya uchaguzi mkuu aingie chadema mchana kweupe kama kweliand guts.
 
Lema aligombea ubunge TLP mwaka 2005 akashinda lakini CCM wakamuonga kitu kidogo akaondoa kesi mahakamani.
Ndugu jana alikanusha tuhuma hii na zingine....na taarifa za chini chini nilizo zipata ni kwamba jamaa alikosa sapoti kuto chama chake ilitakiwa mil tano kwenye hiyo kesi na yeye alikuwa na 350,000..unategemea angefanya je
 
JK alisema kwamba mwaka 2005 walishinda uchaguzi kwa kutumia "mbinu za kisayansi", hii inawezekana ni mojawapo, wakati wa uchaguzi ni vizuri wagombea kujiepusha kufanya vitu ambavyo ni questionable.
 

kama wana codeshare na wakezao waache kujadili jinsi ya kuwahudumia jamani kisa chama loh siasa we??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…